Ujue hili jina linatisha sana, hata namna ya kununua inakuwa ngumu kidogo, kwanini isingeitwa hata Anti Virus halafu hizi Anti Virus tunazotumia kwenye vifaa vyetu vya kielektroniki ndiyo zingeitwa Condom.
Nasema hivyo kwasababu niliwahi kwenda kwenye duka moja la dawa muhimu nikakuta mrembo mmoja hivi anauza, nikamwambia naomba condom, akaniuliza za aina gani, nikamuuliza wewe unapendekeza za aina gani, alikosa kujiamini baada ya swahi hilo akawa anacheka cheka tu.
Miezi kadhaa baadaye alijikuta akitoa unyumba ila chanzo kikiwa mkasa wa condom.
Itaendelea.