Hivi kwanini ITV wamekata speech ya Mnyika?

Hivi kwanini ITV wamekata speech ya Mnyika?

Nimejiuliza maswali sijapata majibu. Ado Sha kaongea bila interaction yoyote .

Ni kongamano la utu lililoandaliwa na nccr.

Sijapenda
Ukiona hivyo ujue alikuwa anaongea utopolo mtupu,wakaona isiwe tabu
 
Ndugu Mimi sina chama ila napenda haki
Hao kina Mnyika na Tundu Lissu, kama wana urefu hata wa centimita moja ya busara, kuliko kuendeleza mapambano na vijembe vya hapa na pale, ni bora wautumie huo mda kwenda kumpigia magoti chifu Hangaya awasaidie mtu wao atolewe. Mwenye nchi ni mwananchi, ila kuna walioshika mpini.
 
Unahitaji kuwa na PhD kujua kuwa Tanzania hakuna uhuru wa habari?!Sijapenda.

Huna habari kuwa chief Hangaya ameanzia pale alipoishia Bwana Chato?

sreCN.jpg
 
Back
Top Bottom