Hivi kwanini kampuni za simu baadhi ya mabenki yanasuasua ku-float shares DSE?

Rich Dad

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
748
Reaction score
135
kuna Vodacom, Airtel, Tigo, NBC Bank N.K. Hivi ni kwamba hayana vigezo au ni siasa nyuma ya pazia?
 
ndugu ni mfumo mbovu tangu mwanzo, haya makampuni yanatengeneza super profit na kuhamishia makwao tu, kuna nhi nandani ni Asia huko wanasheria zinazolamisha hizi kampuni za simu kujisajili kwa masoko yao ya mitaji

Tz Prof Msolwa alipokuwa waziri wa mawasiliano alilipigania saana hili, alizidiwa nguvu na haya makampuni kwani wao wana pesa nyingi za kuhonga, Prof wa watu ilimgarimu uwaziri

Haya yote yanawezekana kama watawala wangeweka maslahi ya Taifa mbele
 
Very sorry Msola hakujua watu anaodeal nao hawako kama yeye
 
Kivipi Mkuu, yeye alitekeleza majukumu yake kama WAZIRI, na walihangaika wakatengeneza mswada wa sheria uliokuwa unawalazimisha wamiliki wa haya makampuni ya SIMU kuuza share DSE, ukaenda bungeni ukajadiliwa kuna watu walitumwa Malaysia kwenda kujifunza akwani wao wana hiyo sheria, Haya makampuni ya simu kwa kupitia vibaraka wao yalilobby saana bunge lisipitishe ule Mswada ila walizidiwa nguvu, msada ulipita, ikabaki tu MKuu wa kaya kuweka mkono ili uwe sheria.. makampuni ya simu yalitumia hiyo nafasi ku lobby mpaka leo MKUU WA KAYA HAJAWEKA MKONO WAKE KWENYE HUO MSWADA
 
Sheria ilipita inayoyalazimisha makampuni ya simu kulist kwenye DSE, wana mpaka 2013 nadhani kufanya hivyo.

Kwa makampuni mengine yote ni hiari kama kampuni haihitaji kukusanya capital, hakuna ulazima wa kulist.
 
Tatizo kuwa listed kwenye stock exchange kunahitaji uwazi katika hesabu na hawa jamaa hawataki uwazi ambao utaingilia wizi wao.
 
hii yote ni kutokana na super normal profit wanayotengeneza na kazi kubwa ya dse nikuraise capital na wao tayari wanamtaji mkubwa..
 
Mkuu sio kweli kwani kwa kufanya hivyo, mahohehahe wengi tungepata fursa ya kumiliki haya makampuni kwa kununua share, Mbona TBL na watanzania walionunua share wanafaidika? huoni DSE ingepata makampuni mengi na mzunguko wa bias´hara ungekuwa mkubwa?
 
Swala la kulazimisha listing DSE ninapingana nalo kwa nguvu zote. Ile sheria ni kweli ilipita na mkuu wa kaya akatia sahihi na iliwagharimu watu kazi pale DSE ambao walipingana na wazo lile. Uchumi wetu hauwezi kulinganishwa na Malaysia. Wale wameshapiga hatua. Tunang'ang'aniza watu walist kampuni wakati wanamitaji ya kutosha. Sasa analist ili iweje? Halafu soko lenyewe ukiangalia turnover yake na activeness yake ni kichekesho. Kikubwa tungerelax sheria kwenye soko lile na kuyafanya makampuni ya wazawa yaende pale kukusanya mitaji na kisha watengeneze ushindaji.
Kuendelea kutunga sheria ngumu kwa wawekezaji kunaweza kugharimu uchumi wetu.
 
Mkuu, kweli unachosema, sema mifumo mibovu ya serikali yetu ndio inatuangusha
 
Swala la kulazimisha listing DSE ninapingana nalo kwa nguvu zote. Ile sheria ni kweli ilipita na mkuu wa kaya akatia sahihi na iliwagharimu watu kazi pale DSE ambao walipingana na wazo lile. Uchumi wetu hauwezi kulinganishwa na Malaysia. Wale wameshapiga hatua. Tunang'ang'aniza watu walist kampuni wakati wanamitaji ya kutosha. Sasa analist ili iweje? Halafu soko lenyewe ukiangalia turnover yake na activeness yake ni kichekesho. Kikubwa tungerelax sheria kwenye soko lile na kuyafanya makampuni ya wazawa yaende pale kukusanya mitaji na kisha watengeneze ushindaji.
Kuendelea kutunga sheria ngumu kwa wawekezaji kunaweza kugharimu uchumi wetu.
sasa activeness si ndio itaongezwa na listing ya haya makampuni yanayopigiwa kelele?
 
Hapo tunataka iwe natural sio kulazimisha. mahitaji ya makampuni yasukume listing baada ya uwepo wa mazingira muafaka na si kung'ang'aniza sheria wakati hakuna mazingira na mahitaji.
 
ndugu ni mfumo mbovu tangu mwanzo, haya makampuni yanatengeneza super profit na kuhamishia makwao tu, kuna nhi nandani ni Asia huko wanasheria zinazolamisha hizi kampuni za simu kujisajili kwa masoko yao ya mitaji

Tz Prof Msolwa alipokuwa waziri wa mawasiliano alilipigania saana hili, alizidiwa nguvu na haya makampuni kwani wao wana pesa nyingi za kuhonga, Prof wa watu ilimgarimu uwaziri

Haya yote yanawezekana kama watawala wangeweka maslahi ya Taifa mbele
walisema january wataanza kuingia DSE
Mimi nimeshatenga ka milioni moja kwa ajili ya vodacom, tigo na airtell na distribute vizuri kabisa...
 
Hapo kwa hiyo millioni 1 yako kwa kununua hisa mitandao yote 3 ume assume kila hisa 1 itauzwa sh.ngapi mkuu?Na unajua minimum unatakiwa hisa 100 mkuu?
 
Back
Top Bottom