Very sorry Msola hakujua watu anaodeal nao hawako kama yeye
hii yote ni kutokana na super normal profit wanayotengeneza na kazi kubwa ya dse nikuraise capital na wao tayari wanamtaji mkubwa..
Mkuu, kweli unachosema, sema mifumo mibovu ya serikali yetu ndio inatuangushaMkuu sio kweli kwani kwa kufanya hivyo, mahohehahe wengi tungepata fursa ya kumiliki haya makampuni kwa kununua share, Mbona TBL na watanzania walionunua share wanafaidika? huoni DSE ingepata makampuni mengi na mzunguko wa bias´hara ungekuwa mkubwa?
sasa activeness si ndio itaongezwa na listing ya haya makampuni yanayopigiwa kelele?Swala la kulazimisha listing DSE ninapingana nalo kwa nguvu zote. Ile sheria ni kweli ilipita na mkuu wa kaya akatia sahihi na iliwagharimu watu kazi pale DSE ambao walipingana na wazo lile. Uchumi wetu hauwezi kulinganishwa na Malaysia. Wale wameshapiga hatua. Tunang'ang'aniza watu walist kampuni wakati wanamitaji ya kutosha. Sasa analist ili iweje? Halafu soko lenyewe ukiangalia turnover yake na activeness yake ni kichekesho. Kikubwa tungerelax sheria kwenye soko lile na kuyafanya makampuni ya wazawa yaende pale kukusanya mitaji na kisha watengeneze ushindaji.
Kuendelea kutunga sheria ngumu kwa wawekezaji kunaweza kugharimu uchumi wetu.
Hapo tunataka iwe natural sio kulazimisha. mahitaji ya makampuni yasukume listing baada ya uwepo wa mazingira muafaka na si kung'ang'aniza sheria wakati hakuna mazingira na mahitaji.sasa activeness si ndio itaongezwa na listing ya haya makampuni yanayopigiwa kelele?
walisema january wataanza kuingia DSEndugu ni mfumo mbovu tangu mwanzo, haya makampuni yanatengeneza super profit na kuhamishia makwao tu, kuna nhi nandani ni Asia huko wanasheria zinazolamisha hizi kampuni za simu kujisajili kwa masoko yao ya mitaji
Tz Prof Msolwa alipokuwa waziri wa mawasiliano alilipigania saana hili, alizidiwa nguvu na haya makampuni kwani wao wana pesa nyingi za kuhonga, Prof wa watu ilimgarimu uwaziri
Haya yote yanawezekana kama watawala wangeweka maslahi ya Taifa mbele
Hapo kwa hiyo millioni 1 yako kwa kununua hisa mitandao yote 3 ume assume kila hisa 1 itauzwa sh.ngapi mkuu?Na unajua minimum unatakiwa hisa 100 mkuu?walisema january wataanza kuingia DSE
Mimi nimeshatenga ka milioni moja kwa ajili ya vodacom, tigo na airtell na distribute vizuri kabisa...
sijajua bado mkuu, lakini hebu tusubiri kwamba...Hapo kwa hiyo millioni 1 yako kwa kununua hisa mitandao yote 3 ume assume kila hisa 1 itauzwa sh.ngapi mkuu?Na unajua minimum unatakiwa hisa 100 mkuu?