Hivi kwanini Kenya inakataa wazo la kuzuia malori ya Kenya na Tanzania kama?

Sijakuelewa mkuu. Naelewa Uhuru anachotaka ila sielewi nyie mnataka nini? Eti proposal yenu ni gani?
 
Hahah
1. Migingo: Kenya and Uganda strike deal
2. The only border point ETHIOPIAN forces have crossed over is the area around MOYALE. ILEMI is further west and like I told you ET has NEVER laid claim in ILEMI. A simple Google Search will suffice.
3. Kenya Somalia maritime? Yes that's the only possible conflict we have with a neighbor. And this is normal for many coastal states. There are currently DOZENS of maritime cases at the ICJ with regards to maritime boundaries. So this is nothing new.

4. JUBALAND: that regional government was recognized by the international community. FGS and ET were caught flat footed and thus the current fiasco. The good thing is that the international community is behind Kenya's efforts.
FYI: SS and KE brokered a deal for KE to administer the region in exchange for KE supporting the Sudan Civil War in favor of SS. Usishangae mbona bendera yao ni sawa na yetu. Usilazimishe ugomvi 😹
 
Sijakuelewa mkuu. Naelewa Uhuru anachotaka ila sielewi nyie mnataka nini? Eti proposal yenu ni gani?
Proposal yetu Kenya na Tanzania wa-exchange mizigo mpakani ili tuone kelele zenu za kudai tunawaambukiza coronavirus zina ukweli upi! Kenyatta anajua ataumbuka ndo maana analazimisha madereva wa Kenya kuingia Tanzania ili apate excuse ya ku-put blame on Tanzania!
 
Sawa. Wacha tuone nchi gani itashinda. Tutajua nchi gani ina nguvu zaidi
 
1)Kitendo cha kwamba Kenya imefikia makubaliano na Uganda kuhusu Migingo kinaonyesha kwamba Kenya na Uganda zilikwaruzana kuhusu Migingo (Kenya ilikwaruzana Uganda)

2)Kitendo cha Kenya na South Sudan kuendelea kugombania Ilemi triangle (Kenya mnakwaruzana na South Sudan)

3)Kitendo cha Ethiopia kuisaidi Somalia kupigana na Jubaland inayosaidiwa na Kenya(Kenya inakwaruzana na Ethiopia na Somalia)

4)Kitendo cha Kenya na Somalia kugombania maritime border ni Kitendo kibaya, hata kama zipo nchi zingine zinagombania mpaka,. Kwahiyo kwasababu duniani watu wengi wanakufa kwa Corona, kwako unadhani sio tatizo kubwa wakenya wakifa wengi kwasababu sio jambo la ajabu?.

Kwanini Kenya mnakwaruzana na majirani wenu wote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kitendo chako kutumia "ili-" inaonyesha kuwa imebakia historia kwani ni kitu kilishatendeka na hakuna ugomvi tena.

2. Kenya na SS hawana ugomvi kuhusu Ilemi. Nishakuelezea jinsi KENYA tulijipata tuki "administer" a huge chunk of the triangle. Sisi na SS ni mandugu RE: Tafuta bendera ya SS.

3. Haionyeshi kwamba tuna mgogoro na ETH. Hakuna uhakika au thibitisho ya ET kushirikiana na SOM kukwaruzana na KE. Kama unayo naomba uoneshe.

4. KE-SOM maritime dispute si kitendo kibaya jinsi unavyojaribu kusisitiza. Otherwise things could have escalated a long time ago. Kesi iko ICJ na nchi zote zinangoja uamuzi. Wewe uko hapa kujaribu kulazimisha ugomvi tu.
 
Good lets wait!

Meanwhile hakuna Mkenya anaingia Tanzania as we speak!
Wakulima wenu wameshaanza kulia machozi ila wanaogopa kuongea hadharani kwa sababu ya udikteta wa Magu
 
Aisee ungekuwa karibu ningekupa offer ya chupa ya wine Kama unatumia au hata katuni nne za maji Kama hutumii kilevi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…