Hivi kwanini Kibaha isiwe Dar es Salaam?

Huko porini kwenu kisemvule utafananisha na kibaha hivi unaakili timamu kweli
Sasa hoja yako ni nini?
Ukaribu na stand ya magufuli au kuendelea?
Watu wamekudharau kwa kujenga hoja mfu isiyo na mbele Wala mtizamo wa kifalsafa.

Kisenvule ni sehemu inayoendelea kwa Kasi na sio makao makuu ya mkoa Wala wilaya wala kata.

Kwa Sasa imeunganishwa na daladala za moja kwa moja mpaka kariakoo, posta, Tandika, Kigamboni yaani ni integral part of Dar es salaam ukioondoa utawala.

Makao makuu ya wilaya ya Mkuranga yapo Mkuranga mjini ambako pia zimebaki kuunganisha maeneo machache Ili mkuranga rasmi iwe mjini mapaka Dar es salaam.

Hivyo kwa mtu mwenye akili timamu lazima take kuunganisha makao makuu ya wilaya na Jiji la Dar es salaam.

Kutokea Mbagala kwa Mkuranga
Kutokea Chanika kwa Kisarawe
Bagamoyo kutokea Bunju
kibaha kutokea Kibamba
Na mafia kwa kuanzisha usafiri wa uhakika kutokea feri.

Sasa wewe wakuja ndio unahisi ni kibaha ndio kunastahili, hapo ni Makao makuu ya mkoa wa pwani, ambako maendeleo yake yanakuja kwa mtindo wa kinyonga
 
Kibaha ingefaa iwe dar tu kutokana na ukaribu
Sio Kibaha tu, mkoa wote wa Pwani ulikua ni sehemu ya Dar es Salaam kabla ya 1978.
Unataka viongozi wetu wam dis NYERERE alie utenganisha? je sababu zake zimeondoka hazipo tena?
 
We akili zero kweli eti kisemvule kunaenndelea Kwa Kasi hahahaha sikujibu tena 🤣🤣🤣🤣
 
Sio Kibaha tu, mkoa wote wa Pwani ulikua ni sehemu ya Dar es Salaa kabla ya 1978.
Unataka viongozi wetu wa dis NYERERE alie utenganisha? je sababu zake zimeondoka hazipo tena?
Duuh basi hatari
 
Mi wa Mrogoro niseme nini tena?
 
Morogoro ilishawahi kuwa ndani ya dar es salaam
Msichanganye kati ya Jimbo la mashariki na mkoa wa pwani?

Jimbo la mashariki ndilo Morogoro ilikuwepo ndani.

Ila Dar es salaam ilikuwa ndani ya mkoa wa pwani.

Ndio maana wenyeji husema mjini wakirefer ni sehemu moja
 
Utajiri sio kipimo cha akili nyingi. Unaweza ukawa tajiri na bado ni mjinga​
Huwezi kuwa mjinga na unapesa mjinga ni kama wewe ambae huna pesa yaani huna akili ya kuipata pesa ndio ujinga mkuu duniani
 
Huwezi kuwa mjinga na unapesa mjinga ni kama wewe ambae huna pesa yaani huna akili ya kuipata pesa ndio ujinga mkuu duniani
Una hoja za kiwaki sana. Na ndio maana uzi wako unaonyesha kina cha ujinga wako. Uzi wa kitoto sana​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…