Kumbe na wengine wamekuona huna akili timamu. Ni kama kondoo lipo kwenye heat linatafuta kupandwaTafuta hela wewe unataka kujenga ghorofa halafa hela zenyewe za manati masikini bhana
Tafuta hela mwasibu feki,🤣🤣🤣🤣Kumbe na wengine wamekuona huna akili timamu. Ni kondoo lipo kwenye heat linatafuta kupandwa
Kwahiyo unataka watu waishi kama kuku wa kwenye cage, kaeneo kadogo watu utitiriMiji iende vertical badala ya horizontal. Dar ingeenda vertical inavyotakiwa huenda isingekuwa imepita Manzese tukasave ardhi kwa matumizi mengine muhimu badala ma-slums kuenea hadi Mlandizi huko.
Hakika Skyscraper including maghorofa ya floor 5 kuendelea zinasaidia mno ku conserve spaceMiji iende vertical badala ya horizontal. Dar ingeenda vertical inavyotakiwa huenda isingekuwa imepita Manzese tukasave ardhi kwa matumizi mengine muhimu badala ma-slums kuenea hadi Mlandizi huko.
Kama tatizo ni nauli nakushauri ununue baiskeliHuwa najiuliza, viongozi wa hii nchi wana akili timamu kweli? Yaani wanajua kabisa raia wao wengi hawana elimu na wamejirundika Dar es Salaam kwa ajili ya jina. Kwanini wasiifanye wilaya ya Kibaha kuwa ndani ya Dar es Salaam ili watu wasambae kujenga huko?
Maana naona kutoka Kibaha mpaka Mbezi Magufuli ni karibu kuliko kutoka Kariakoo mpaka Mbezi Magufuli, ambapo ndio kituo kikubwa cha mabasi Tanzania. Aisee, Bora i Dar es Salaam ipanuliwe kwa kuchukua ardhi ya Kibaha, maana hata daladala zinapandisha nauli kila siku kwa kigezo cha Kibaha kuwa mkoa mwingine, wakati unakuta umbali ni mdogo.
Ila ukitokea mtikisiko kama wa juzi Myanmar na Thailand plus expansion joints za ma-engineer wa kibongo na ratio zao wanazozijua wenyewe taifa litaomboleza hatari!Hakika Skyscraper including maghorofa ya floor 5 kuendelea zinasaidia mno ku conserve space
Watafute ma engineer kutoka Japan ni wataalamu kidogo wamezoea matetemekoIla ukitokea mtikisiko kama wa juzi Myanmar na Thailand plus expansion joints za ma-engineer wa kibongo na ratio zao wanazozijua wenyewe taifa litaomboleza hatari!
Huyo zimepunguaKwahiyo unataka watu waishi kama kuku wa kwenye cage, kaeneo kadogo watu utitiri
Tz bado ni kubwa sana tembea uone usiishie hapo manzese tuu
Kabisa mkuuNgoja niwaoneshe majimbo yatavyokua
Dar State - Dar,Pwani,Tanga,Morogoro.
State 2 - Mwanza,Kagera,Geita, Simiyu.
State 3 -Kigoma,Tabora,Shinyanga,Singia.
State 4 -Mara,Arusha,Manyara,Kilimanjaro.
State 5-Katavi,Rukwa,Mbeya.
State 6 - Njombe,Ruvuma,Lindi,Mtwara.
Dodoma ibaki na hadhi yake ya makao makuu ya nchi na serikali.
tutapunguza sana matumizi ya serikali na tutaongeza ufanisi sana wa utandaji wa serikali.Wakurugenzi wabaki kama walivyo, awepo tu mkurugenzi mkuu wa jimbo na wakurugenzi wachini yake katika maeneo ambayo yalikua mikoa.
Baada ya hapo, Morogoro pia itakuwa jirani na Dar, hivyo Moro ihamishiwe Dar. Kisha, Dodoma itakuwa jirani na Dar, nayo Dodoma ihamishiwe Dar, hivyo hivyo, Singida, Iringa na kwingineko.Huwa najiuliza, viongozi wa hii nchi wana akili timamu kweli? Yaani wanajua kabisa raia wao wengi hawana elimu na wamejirundika Dar es Salaam kwa ajili ya jina. Kwanini wasiifanye wilaya ya Kibaha kuwa ndani ya Dar es Salaam ili watu wasambae kujenga huko?
Maana naona kutoka Kibaha mpaka Mbezi Magufuli ni karibu kuliko kutoka Kariakoo mpaka Mbezi Magufuli, ambapo ndio kituo kikubwa cha mabasi Tanzania. Aisee, Bora i Dar es Salaam ipanuliwe kwa kuchukua ardhi ya Kibaha, maana hata daladala zinapandisha nauli kila siku kwa kigezo cha Kibaha kuwa mkoa mwingine, wakati unakuta umbali ni mdogo.
Wewe kibaha iliwahi kuwa ndani ya dar ndio maana nasema hivyo Sasa huko morogoro lini ilowahi kutambulika ndani ya darBaada ya hapo, Morogoro pia itakuwa jirani na Dar, hivyo Moro ihamishiwe Dar. Kisha, Dodoma itakuwa jirani na Dar, nayo Dodoma ihamishiwe Dar, hivyo hivyo, Singida, Iringa na kwingineko.
Kwa lugha rahisi, Tanzania/Afrika yote iitwe "Daslam"
Hoja yako ni ukaribu... Na umesema, "Kwanini wasiifanye wilaya ya Kibaha kuwa ndani ya Dar es Salaam ili watu wasambae kujenga huko?" Hoja yako hujaijenga vizuri...Wewe kibaha iliwahi kuwa ndani ya dar ndio maana nasema hivyo Sasa huko morogoro lini ilowahi kutambulika ndani ya dar
Tufanye haitowezekana basi Ili ufurahi maana umekuja kupinga Sina mda wa kubishanaHoja yako ni ukaribu... Na umesema, "Kwanini wasiifanye wilaya ya Kibaha kuwa ndani ya Dar es Salaam ili watu wasambae kujenga huko?" Hoja yako hujaijenga vizuri...
Kwani kinachowazuia watu kujenga kibaha ni Kwa kua kibaha haiko dar?,hoja Yako Haina mashiko kwaiyo hata Tunduma iwe Zambia sababu ni karibu na Zambia au horohoro iwe Kenya sababu ya ukaribu na Kenya?Huwa najiuliza, viongozi wa hii nchi wana akili timamu kweli? Yaani wanajua kabisa raia wao wengi hawana elimu na wamejirundika Dar es Salaam kwa ajili ya jina. Kwanini wasiifanye wilaya ya Kibaha kuwa ndani ya Dar es Salaam sababu ilishawahi kuwa ndani ya dar es salaam ili watu wasambae kujenga huko?
Maana naona kutoka Kibaha mpaka Mbezi Magufuli ni karibu kuliko kutoka Kariakoo mpaka Mbezi Magufuli, ambapo ndio kituo kikubwa cha mabasi Tanzania. Aisee, Bora i Dar es Salaam ipanuliwe kwa kuchukua ardhi ya Kibaha, maana hata daladala zinapandisha nauli kila siku kwa kigezo cha Kibaha kuwa mkoa mwingine, wakati unakuta umbali ni mdogo.