Ni kweli cm haifai kwa wagonjwa wa aina yake kuepusha mstuko lakini akipata za kuchekesha zitamfaaKwakweli tunategemea mwezi wa 8 atatoka hospital. Halafu mie nikienda Ndio anapata simu ya kuingia jf,Maana ameshauriwa asitumie simu. Kwahiyo nikienda Mimi anapata Hata dakika kumi za kuingia jf na kucheka Cheka.
Hivo anawatupia like
kuna nyumbu wa lumumba na ufipa waliokosa mkopo chuo wengine wamedisco udom stress tupu
Hata mimi nilipokuwa nikisikia jf, nilijua ni.mahala ambapo watu huchangia hoja kwa umakini zaidi. Nilipojiunga, nashangaa wakati mwingine kuona upuuzi unaopostiwa na baadhi ya watu. Kuna wakati najiuliza: Huyu naye alikaa, nikafikiri kwa kina kabla ya kuandika hicho alichokiandika?????? Hata kama huna uhuru wa mawazo, lakini kingine vinashangaza sana.wanabodi
nimekuwa nashangazwa sn km sio kustaajabu!au inaonyesha humu wengi wetu ni betri low
mtu anaweka thread yake nzuri lakini mwisho anasema sitaki matusi!
Au kama ukiona limekukera mezea na maji!
yaani mtu hata akiweka bandiko la maana litalogusa kila upande katika jamii inayotunguzuka mwisho lazma aweke maneno ya taarabu!ooohh wale watoa povu wanakuja sasahivi.....
Kunani humu jamani Jf
ni kina nani haswaa huwa wanapewa tahadhari wasianze kutoa mapovu au kejeli..leo tuwajue
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho nitamuonyesha Ili akujibu yeye mwenyewe [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ni kweli cm haifai kwa wagonjwa wa aina yake kuepusha mstuko lakini akipata za kuchekesha zitamfaa
Mwambie tunaziona mpe faraja swaiba wetu wote.
Unasutwa na ID 29 za MTU mmojaUshawahi kusuntwa wewe,yaan unasuntwa mpaka unasahau njia ya kutokea JF. Halafu unaweza dhani unasuntwa na watu wengi kumbe ni mmoja ila ana multiple ID