Kinondoni ni pachafu haswa, nafikiri pia inatokana na jamii husika zilizoishi hapo mwanzo, mwingiliano wa watu na utandawazi kupitiliza ulioenea hivi sasa bila kusahau kinondoni ndiyo Dar es Salaam yenyewe, population kubwa na kila kitu kinapatikana hapo