kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Walianza kwny Logo ya Vodacom hao..Sijuhi wanapungukiwa na nini hii timu ndio maana siipendi..Inachangia kurudisha maendeleo ya soka..Hizo ndiyo akiri zao zinavyowatuma viongozi wa mbute mbute fc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katiba ya kuvunja na kuharibu Logo halisi ya timu ndo unaitetea.Yanga inafuata katiba yake iliyokuwepo toka enzi za mkoloni? unajua kwa nini yanga ilipiga marufuku g rangi nyekundu? sababu ni kwamba enzi za mkoloni wakati yanga inashiriki kwenye harakati za kupigania uhuru, klabu ya simba ikiitwa sunderland walikuwa mstar wa mbele kushirikiana na mkoloni kuwapinga waafrika waliokuwa wanapigania uhuru, simba walikuwa wasaliti na ndio sabab ya rangi nyekundu kupigwa marufuku.
Acha kutetea ujinga. Kilichofanywa na timu lenu kuanzia kuikataa logo nyekundu ya vodacom na sasa kubadili logo ya timu nyingine ni ujinga sana kwa dunia ya sasa.Nmecheka kuona povu linawatoka Yanga Yanga Yanga. Kuna wapuuzi wameenda mbali zaidi eti siipendi Yanga sasa usipoipenda ww mjinga nn kinapungua?
Jitu jinga lipuuzi tu eti siipendi Yanga kwan wao wanakupenda? Achen ushamba wa kujiona ww bora kwa kisichokuhusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo haiwapi uhalali Yanga kufanya ujinga mnaofanya.Muulizeni Uchebe sehemu au club yenye viongozi waongo wasioenda shule.
Club ambayo viongozi wake na mashabiki ni maboya fuata upepo.
Mkifungwa mechi moja tu, kocha hafai. Kesho mkishinda, mnajidai hata aje Barca hatoki.
hakuna majitu majinga kama mikia, yaani taarifa za club unatupangia namna ya kudesign.
Yanga ni chura hakuna kingine,kwaiyo wao ndio walio dai Uhuru kuliko Nyerere ? Mbona hakupinga hio rangi ya wakoloni,Yanga inafuata katiba yake iliyokuwepo toka enzi za mkoloni? unajua kwa nini yanga ilipiga marufuku g rangi nyekundu? sababu ni kwamba enzi za mkoloni wakati yanga inashiriki kwenye harakati za kupigania uhuru, klabu ya simba ikiitwa sunderland walikuwa mstar wa mbele kushirikiana na mkoloni kuwapinga waafrika waliokuwa wanapigania uhuru, simba walikuwa wasaliti na ndio sabab ya rangi nyekundu kupigwa marufuku.
Uneducated liars hao.Cha ajabu anayelalamikia logo ni mkia.Yani mkia logo ya Mbeya city inakuuma wakati wenye Mbeya city wako kimya.Unadhani wewe mkia unaakili kuliko timu zote za ligi kuu Kiroporopo wa mikia Manara?
Suala la Logo sioni shida kwa sababu logo zinabadilika.Kaangalie logo ya man u ya msimu uliopita na msimu huu kama rangi ya logo ni moja?mbona ya saiz imewekewa rangi nyeusi mpauko?
Kama kweli hiyo inakuuma basi jaribu kufanya utafiti hata kwenye sheria kama kuna sheria ya kuwaadhibu Yanga.Mambo ya rangi haijalishi ndo maana Vodacom alikubali kubadilisha rangi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Logo inabadilika? Kweli wewe ni chura halisi, Logo inaingia Kwenye katiba uwezi kubadilisha Logo kienyeji hivyo, kila kitu kilichopo Kwenye Logo kinawekwa tafsiri Kwenye katiba.Cha ajabu anayelalamikia logo ni mkia.Yani mkia logo ya Mbeya city inakuuma wakati wenye Mbeya city wako kimya.Unadhani wewe mkia unaakili kuliko timu zote za ligi kuu Kiroporopo wa mikia Manara?
Suala la Logo sioni shida kwa sababu logo zinabadilika.Kaangalie logo ya man u ya msimu uliopita na msimu huu kama rangi ya logo ni moja?mbona ya saiz imewekewa rangi nyeusi mpauko?
Kama kweli hiyo inakuuma basi jaribu kufanya utafiti hata kwenye sheria kama kuna sheria ya kuwaadhibu Yanga.Mambo ya rangi haijalishi ndo maana Vodacom alikubali kubadilisha rangi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajabu anayelalamikia logo ni mkia.Yani mkia logo ya Mbeya city inakuuma wakati wenye Mbeya city wako kimya.Unadhani wewe mkia unaakili kuliko timu zote za ligi kuu Kiroporopo wa mikia Manara?
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala la Logo sioni shida kwa sababu logo zinabadilika.Kaangalie logo ya man u ya msimu uliopita na msimu huu kama rangi ya logo ni moja?mbona ya saiz imewekewa rangi nyeusi mpauko?
Sent using Jamii Forums mobile app