James alamba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 216
- 106
Kila mahari mabango yote ni dawa ya nguvu za kiume shida ni nink?
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaaaaaaHapa wa kumlaumu ni Kikwete tu maana yeye ndiye aliyewadanganya watanzania wengi kwa ile kauli mbiu yake ya maisha bora kwa kila mtanzania. Watu walikuwa na lazy mentality kwa sababu kulikuwa na hela za kuchezea bila kufanya kazi, sasa Magu kaja kuwashikisha adabu, watu wamekuja na visingizio vya dawa za nguvu za kiume za kila aina. Kuna hii mpya ambayo imeingia wanasema inatoka Nigeria, ni mchanganyo wa unga wa mende wa kusaga uliyochanganishwa na vyura pamoja na majani ya Kinigeria ambayo wanadai ni kiboko shinda vumbi ya Kongo. Ujinga huu unapatikana sana Kinondoni pale maeneo ya American Chips, Morocco, na mtaa wa Ufipa kwa yule jamaa muuza gongo. Makonda shughulikia hawa watu kwani wanawapa sumu wenzao wajinga.
Sio mchezoHapa wa kumlaumu ni Kikwete tu maana yeye ndiye aliyewadanganya watanzania wengi kwa ile kauli mbiu yake ya maisha bora kwa kila mtanzania. Watu walikuwa na lazy mentality kwa sababu kulikuwa na hela za kuchezea bila kufanya kazi, sasa Magu kaja kuwashikisha adabu, watu wamekuja na visingizio vya dawa za nguvu za kiume za kila aina. Kuna hii mpya ambayo imeingia wanasema inatoka Nigeria, ni mchanganyo wa unga wa mende wa kusaga uliyochanganishwa na vyura pamoja na majani ya Kinigeria ambayo wanadai ni kiboko shinda vumbi ya Kongo. Ujinga huu unapatikana sana Kinondoni pale maeneo ya American Chips, Morocco, na mtaa wa Ufipa kwa yule jamaa muuza gongo. Makonda shughulikia hawa watu kwani wanawapa sumu wenzao wajinga.
Kweli biashara matangazoHahaaaaaaa
Naona mkuu umepata na uwanja wa kutangaza biashara[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaaaa
Naona mkuu umepata na uwanja wa kutangaza biashara[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusuburie msakoHujaisikia hii dawa ya kijinga? Fika Kino kuanzia pale makaburini mpaka kule maeneo ya Mahakamani hii dawa inajulikana. Ngoja Makonda aanze kuwasaka, utakuja kuwa shuhuda hapa hapa JF.