Hivi kwanini kuna ongezeko kubwa la vituo vya tiba asili na nguvu za kiume?

Hivi kwanini kuna ongezeko kubwa la vituo vya tiba asili na nguvu za kiume?

Kind

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
247
Reaction score
40
Hivi kwanini kunaongezeko kubwa la vituo vya tiba asili na nguvu za kiume kwa sasa tofauti na zamani? Na huduma hizi zipo sana mijini.
 
Msingi mbaya wa kanisa la baada ya mitume ndiyo chanzo cha wakristo kuona Mungu hana nafasi kwenye matatizo yao.
Makanisa siyo sehemu ya mtu alielemewa na mzigo kwenda ili atuliwe mzigo wake tena
Kwa mfano jiulize kwa nini dar kuna makanisa makubwa lakini watu wanakimblia Nigeria kwa T B Joshua? kuna kitu kimepungua ndani ya kanisa la TZ.
 
kwa ujumla mfumo wa maisha,vyakula,imani, umebadilika kwa sana.
 
tatizo ni kuwa wanaume wenye tatizo hilo ni wasiri hata akienda kwa mganga anaenda kwa siri so hata akipona au asipopona mwngine hawez kujua nae ataenda kwa siri hii inawwafanya hawa waganga wawe na confidence kibwa ya biashara yao kwasababu wagonjwa wanafanya siri na kwa kweli vyakula vimechangia sana na pia movies za porn zinazoonyesha wanaume wenye nguvu vitandani na hii kuwafanya wanawake na wanaume kuwa na fikra potofu kuhusu nguvu na maumbile yaoutakuta mwanaume anaenda kutafuta dawa za kuongeza uume na mwanamke anatafuta dawa za kutight uke ni fikra tu potofu katika swala zima la kuridhishanakitandani
 
hivi kwanini kunaongezeko kubwa la vituo vya tiba asili na nguvu za kiume kwa sasa tofauti na zamani? Na huduma hizi zipo sana mijini.
Tumia akili yako
 

Attachments

  • Tumia akili.jpg
    Tumia akili.jpg
    8.7 KB · Views: 140
Hivi kwanini kunaongezeko kubwa la vituo vya tiba asili na nguvu za kiume kwa sasa tofauti na zamani? Na huduma hizi zipo sana mijini.
Ongezea kwenye thread yako😱

Kwa nini tatizo la kuharibika mimba na birth complication limeongezeka? Kuna makala mwaka jana niliiona Mwananchi na marafiki kwa kuobserve mtaani na vifo wakati wa kujifungua kama vimeongezeka

aione: [MENTIONr=6716]Riwa[/MENTION], Preta, [MENTION=182629]Dr. Mo, MziziMkavu, watu8
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom