Hivi kwanini maonesho ya Nanenane yamefutwa?

Ni kwa mwaka huu tu, sababu ya uhaba wa fedha...
 
Naona mkenda ndio kaja na hiyo mambo
 
Burudani kwenye maonyesho ya Kilimo? Hakukuwa na Maonyesho ya kilimo bali gulio tu.
 
Kikatiba kilimo ni uti wamgongo ,kama wameona maonesho yamekua nguzo ya usambazaji waukimwi nibora wamestisha ..
 
Ni mambo ya kushangaza Sana,badala ya kuyakuza yawe kimataifa wao wanafuta.

Imagine Nanenane ya Mbeya ambavyo huwa inanoga,tena yalikuwa yanashirikisha nchi jirani
Usha wahi kuhudhuria maonyesho ya Kilimo hata na nchi jirani kama Ugana au Kenya? Au Zambia ay Malawi au Zimbabwe?

Nenda ikirudi utaona maonyesho yetu ni uhuni mtupu.Hakuna maonyesho pale
 
Ni kitambo mkuu kabla hata jiwe hajashushwa kuzimu ila ni wakati wake wa kipindi cha pili
Taahi.ra linalojidai linajua sana mambo ya kilimo kuwazidi wakulima wenyewe, nanenane yapo kila mwaka.
 
Bora tuwe na tisa tisa ambayo itajumuisha kilimo na viwanda = Biashara
 
Hayo ni.kama mwenge tu.

Maofisa kilimo na wasaidizi wao nchi nzima na maofisa biashara kila wilaya na.mikoa wangelamba per diem hawarudi na tija yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…