Hivi kwanini maonesho ya Nanenane yamefutwa?

Kitu gani kipya cha kujifunza?
Mi naonaga ni sehemu ya kupiga posho tu na inawesekana mtoa mada ni mmoja wao.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Mbona mwaka jana yalikuwapo na yalifanyika kitaifa mkoa wa Simiyu au upo nje ya Tanzania mkuu!!
Hivi uko makini kweli wewe.Tunakuambia mwaka 2021 hayatakuwepo wewe unaongelea mambo ya 2020.Badilisha hilo jina maana ndio linakuletea kiza
 
Mkuu ukizungumzia kufutwa maana yake hayatafanyika tena daima.
Ukirejea hilo gazeti la mwananchi linasema kwa mwaka huu. Kwa maana mwaka mwingine yatafanyika.

Kilichofanyika ni kusitisha maadhimisho kwa mwaka huu na kuelekeza fedha zilizotengwa katika mambo ya ugani/uboreshaji wa kilimo. Jambo lililofanyika kwa sherehe za muungano.
 
Hivi uko makini kweli wewe.Tunakuambia mwaka 2021 hayatakuwepo wewe unaongelea mambo ya 2020.Badilisha hilo jina maana ndio linakuletea kiza
Kutokuwepo 2021 ndiyo kufutwa sherehe za nanenane forever kama alivyosema mleta mada? Tumia akili kidogo boss
 
Yawekewe utaratibu rasmi kama saba saba,hii ni fursa unless wahusika hawana macho
 
Hayajafutwa moja kwa moja, ni kupisha wimbi la COVID 19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…