Asante sanaaaaaaKama ilivyo kila zao lina mazingira yake ya uostawi/uotaji.
Basi hivyo hivyo Kila tunda/mmea una zaa kulingana na hali ya hewa iliyo favourable kwake,
Katika mzunguko wa mwaka na majira yake, ndio humo unapata mazingira/hali ya hewa rafiki kwa mmea huo.
Basi majira hayo yakifika, mmeo utastawi na kuzaa.
Swali lako ni sawa na Kuulizia kwanini Uchaguzi Mkuu wa nchi nyingi duniani ni baada ya miaka kati ya Minne, Mitano na mpaka hata Miaka Saba?Wadau hili suala sijui ni La kisayansi au sijui niliiteje .napata tabu sana nawaza hivi kwanini matunda yanakuwa na msimu yaani mfano sasa hivi uwezi kupata chungwa wala chenza ni Msimu wa Embe.
Mara msimu wa nanasi au hii inatoka nasisi wakulima tunavyopanda au ebu wataalam mtujuze kwanini matunda yanakuwa na msimu.ila dafu halina msimu pia.
Jibu liko hapa..japo hujazungumzia upande wa teknolijia.Kama ilivyo kila zao lina mazingira yake ya uostawi/uotaji.
Basi hivyo hivyo Kila tunda/mmea una zaa kulingana na hali ya hewa iliyo favourable kwake,
Katika mzunguko wa mwaka na majira yake, ndio humo unapata mazingira/hali ya hewa rafiki kwa mmea huo.
Basi majira hayo yakifika, mmeo utastawi na kuzaa.
Unajua sababu ya wazungu wengi kuvamia maeneo ya nyanda za juu kusini kulima Parachichi ?.Tunda pekee ambalo halina msimu ni Avocado