Hivi kwanini mechi kati ya Simba na Polisi imeahirishwa?

Hivi mbona timu zingine giant za Africa zinaendelea na ligi za ndani Kama kawaida nimeona zimecheza

What special with this Makolo fc
 
Ratiba ya ligi kuu na Ile ya CAF ili ilitangulia kutoka?
Usidanganye ratiba ya caf ilitoka mapema na uwa wanna allocate tarehe za game wlionyesha mech za mzunguko wa pili zitachezwa Kati ya tarehe fulani na fulani kwanini wasingeiondoa kabisa btn 17-24

Tff hawajielewi
 
Simba inajali mechi za kimataifa ,Azam wanajulikana hawana la kupoteza ,na kwa upande wa yanga inajulikana kipaombele yao siyo club bingwa ni kuifunga Simba
mkuu naona bado upo usingizini hii sio yanga ya molinga hii ni habari nyingine yaani tunajiamin na timu yetu mpaka tunataman tucheze tena na hao wanaojiita wa kimataifa tuwaonyeshe hatukubahatisha
 
sawa leten kila hoja ila tunajua mmeogopa kufungwa na polisi itaathiri saikolojia ya wachezaji kwa mechi ya jumapili

hakukuwa na sababu yeyote zaidi ya woga
 
mkuu hukuelewa logic ya Abdalla mpemba hakumaanisha magari kama magari
kiukweli mafanikio ya South africa usiyafananishe na Tanzania bado tupo mbali kuwafikia kiuchumi kimichezo nk
 
Afadhali sisi tuna ndoto huku bado tunashiriki lakini nyinyi mmeshatolewa mashindanoni
ila kwenye kushiriki mkuu kuna wale washika mikia kweny makund angalieni msije mkaangukia huko mana dalili sio nzuri
 
Ratiba ya ligi kuu na Ile ya CAF ili ilitangulia kutoka?
Ila kiukweli hata kama inaanza kutoka ya tff ili jambo waliangalie hata kama litakuwa linaifavour timu yangu
haiwezekani timu ligi inaelekea mwishoni inabaki na viporo mechi nane😭 mbona haya mambo kwa wenzetu hatuyaoni???
viporo mechi mbili au tatu tutawaelewa si zaid ya hapo
 
sawa leten kila hoja ila tunajua mmeogopa kufungwa na polisi itaathiri saikolojia ya wachezaji kwa mechi ya jumapili

hakukuwa na sababu yeyote zaidi ya woga
Mwisho wa siku lazima timu zote zicheze mara mbili. Kila mtu ashinde mechi zake, mahesabu yatapigwa raundi ya 30, sasa hapo ndipo malalamiko kwa TFF, marefarii na CAS yatakapoibuka. Kwa sasa mambo yapo shwari kabisa
 
Sawa mama. Mlemavu wa ngoz na AKILI. Et mm nadhani. ENDELEA KUDHANI DADA
 
Kwakuwa Simba ndio timu pekee Afrika mashariki na kazi na jirani zake wanao wakilisha Nchi katika mashindano ya Club Bingwa Africa.
Hao wengine wapate vipolo vyanini wakati mapema tu wanatolewa katika Mashindani ya Afrika.
 
Nimefurahi Biashara United kutolewa kwa ukata.
Simba tulijitahidi kuwawezesha kimataifa hata shukrani hawakutoa.
Walipaswa kutupigia makofi siku ya mechi nao.
Kitendo cha kukamia kutuumizia wachezaji wetu kimewagharimu.
Malipo ni hapa hapa
 
Sawa mama. Mlemavu wa ngoz na AKILI. Et mm nadhani. ENDELEA KUDHANI DADA
kaka kutukana watu mitandaoni hizo ni haiba za watoto wa kike kina mange kimambi na kina rachel wewe ni mtoto wa kiume acha hayo mambo.
na ubaya zaidi humu tunatumia ID fake angalia usije kuwa unamtukana baba yako aliepinda mgongo akatoa manii leo umekua unamtukana utapata radhi
 
Nimefurahi Biashara United kutolewa kwa ukata.
Simba tulijitahidi kuwawezesha kimataifa hata shukrani hawakutoa.
Walipaswa kutupigia makofi siku ya mechi nao.
Kitendo cha kukamia kutuumizia wachezaji wetu kimewagharimu.
Malipo ni hapa hapa
mkuu usiongee sana ujue zamu yenu leo goli mbili si nyingi watu wanaweza kupindua meza kwa mkapa
simba ni kama arsenal kwa sasa usiewekee dhamana
 
hongereni makolo

tumeona leo faida ya mapumziko yenu
na leo pia tumeona mapro wenu hawajaumizwa mechi imeisha salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…