SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Unakuta mume si wako ila unakiherehere wewe ndio unashadadia vitu kama mume wako.
Mtu akipiga unapokea unamuliza wewe nani, kwani wewe nani.
Kila mahali unamganda mume wa mwenzako unajitoa kama mume wako hii ni KERO akifa mbona huji ila akiwa hai unahangaika. Hatunywi maji wewe kama wewe ngoja aumwe au afe umepotea huwa mnajiaminigi nini eti?
Hakuna saa ambalo hamboi mnaboa sana. Kila kitu sawa bwana hakuna lahasha.
Mnajiamini hadi mnachosha sana.
Hampumzishi wenye wenye mali simu masaa yote na vichupi chupi na vikhanga vyenu mnaphotoa photoa hivyo vimapaja, vyakuku na vikuku vyenu miguuni kama vikuku vyakienyeji mnaboa