Hivi kwanini milipuko ya magonjwa hatari huathiri zaidi bara la Africa na Asia!

bomouwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,149
Reaction score
800
Nafikiria kuwa haya magonjwa kama ukimwi na ebola ni biological weapons kwa ajili ya kupunguza tabaka la waafrica na waasia ili chi tajiri duniani ziwe huru naziondokane na threat ya uwepo wa watu hawa? Maana najiuliza sana kwanini magonjwa wakati yanatokea na hali inapokua mbaya mashirika ya madawa yanakua stand by kuuza dawa?

Tafadhali mwenye kujua.
 
Tafadhali mwenye kujua.[OFFICIAL LIES ARE ALWAYS GREATEST LIES OF ALL]

Ndugu yangu unahitaji kujua mambo mengi sana kuhusu dunia hii na hasa US government ili upate jibu/hitimisho sahihi,hivyo nakushauri uongeze udadisi,ukiongeza udadisi utajua vitu vya ajabu ambavyo hujavitegemea.Kwa kukusaidia katika hili;
Zamani sana katika miaka ya 1910 J.D.Rockffeler,J.P.Morgan na Carnegie wali 'takeover' medical schools madhumuni hasa yakiwa ni kuzibadilisha ili ziwe kifamasia zaidi ili watimize lengo lao la kiuchumi/kifedha(yaani kuuza madawa ya aina mbalimbali yakiwemo ya kulevya na ya kutibu magonjwa).Kwa mantiki hiyo kama hamna ugonjwa,hawapati faida,hivyo kwa namna yoyote ile lazima wafanye mambo fulani ili ugonjwa uibuke hata kama 'there is no such disease in nature'.Soma Flexner report katika goole.
Hivyo magonjwa mengi tunayoyaona/kusikia sasa yametengenezwa,hayapo kiasilia mfano:swine flu, birds flu,Ebola and AIDS.Hupaswi kuyaogopa magonjwa haya kwa kuwa si hatari kama inavyotangazwa,unapaswa kuogopa zaidi malaria kuliko magonjwa haya.Fuatilia mada moja kuhusu Dr. Robert Charles Gallo: The man who created AIDS by Sikonge kama mfano.
Pia fuatilia American War on Drugs/Nixon War on Drugs 1971(uliwahi kuangalia ile movie ya Chuck Norris inayoitwa Delta Force?) nadhani unaweza kupata picha.
Madhumuni makuu ya milipuko hii ya magonjwa ni;

1.Kuuza madawa na chanjo (drugs and vaccines) ili wajitengenezee 'super profit'.Fahamu pia ndani ya hizo dawa na chanjo kuna visababishi vya magonjwa mengine pia(biashara moja huzalisha nyingine).Mfano mzuri ni ARVs,zinasababisha 'lactic acidiosis' kwenye damu na 'liver failure'.
2.Kutawala dunia(total world control)-Hili ni suala pana sana,unahitaji muda kujua.
 
I agree ...!
 
good flow of information i wish to have more of intellectual perceptions to such important and educative threads in jf.asante sana i will go through your references and learn more.
 
Nafikiria kuwa haya magonjwa kama ukimwi na ebola ni biological weapons kwa ajili ya kupunguza tabaka la waafrica na waasia ili chi tajiri duniani ziwe huru naziondokane na threat ya uwepo wa watu hawa? Maana najiuliza sana kwanini magonjwa wakati yanatokea na hali inapokua mbaya mashirika ya madawa yanakua stand by kuuza dawa?

Tafadhali mwenye kujua.

umefikia sehemu nzuri kwa udadisi!! nami nakuunga mkono...tafadhali embu pitia hii doc hapa...
http://hayaryakanch.files.wordpress.com/2013/06/the-story-of-the-committee-of-the-300.pdf
GLOBAL 2000 – Depopulation Program | Topics of Study

Kwa kifupi japo sina uhakika ila lazima tujiulize kwanini haya yanatokea africa na asia? kwanini sio kwao?? umeshajiuliza kuhusu HIV-AIDS unajua ni mtu tu alitengeneza hawa virusi? alafu watu wanasema ni mungu!! kweli? haya wanafanya ni kufan8ikisha biashara zao hasa za madawa and yes kupunguza population to 1billion!! inauma sana ila ndio ukweli embu soma hao COMITEE OF 300 maana hawa ndio wapo behind all of these!!
 
umefikia sehemu nzuri kwa udadisi!! Nami nakuunga mkono...tafadhali embu pitia hii doc hapa...
http://hayaryakanch.files.wordpress.com/2013/06/the-story-of-the-committee-of-the-300.pdf
global 2000 – depopulation program | topics of study

kwa kifupi japo sina uhakika ila lazima tujiulize kwanini haya yanatokea africa na asia? Kwanini sio kwao?? Umeshajiuliza kuhusu hiv-aids unajua ni mtu tu alitengeneza hawa virusi? Alafu watu wanasema ni mungu!! Kweli? Haya wanafanya ni kufan8ikisha biashara zao hasa za madawa and yes kupunguza population to 1billion!! Inauma sana ila ndio ukweli embu soma hao comitee of 300 maana hawa ndio wapo behind all of these!!

asante sana ntatafuta muda niisome kwa undani.
 
Nafikiria kuwa haya magonjwa kama ukimwi na ebola ni biological weapons kwa ajili ya kupunguza tabaka la waafrica na waasia ili chi tajiri duniani ziwe huru naziondokane na threat ya uwepo wa watu hawa? Maana najiuliza sana kwanini magonjwa wakati yanatokea na hali inapokua mbaya mashirika ya madawa yanakua stand by kuuza dawa?

Tafadhali mwenye kujua.
Kuuza au kugawa. Wao inawalipa kwa mtindo mwingine kama kuiba madini, gas na mafuta. Mzungu nuksi sana
 
Back
Top Bottom