I think hii ndio njia sahihi kama mnataka kueleimisha na kusaidia jamii as well kutangaza biashara yenu. Mambo ya mjadala wakati mnajua ushauri na njia ambayo mteja anapaswa kifuata sioni kama inaleta tija.Asante kwa maoni Mshana Jr,
Tutakuja na suluhisho wakati wowote hivi karibuni. Umesema wahitaji ni wengi?
I think hii ndio njia sahihi kama mnataka kueleimisha na kusaidia jamii as well kutangaza biashara yenu. Mambo ya mjadala wakati mnajua ushauri na njia ambayo mteja anapaswa kifuata sioni kama inaleta tija.
Sanasana binafsi ningependa kupatiwa taarifa kama huyo dada sales executive je ameolewa au la..
Yeah....!!!!Asante kwa maoni Mshana Jr,
Tutakuja na suluhisho wakati wowote hivi karibuni. Umesema wahitaji ni wengi?
Mwaka jana niliagiza gari kutoka uingereza ile walivyonikabidhi nikakuta wameiba kila kitu ndani ya gari niliweka vyakula na vinywaji ila vyote viliibiwa na wakanipa gari tupu hamna kitu ndani.....Je nani huwa ana mamlaka ya kufungua gari na kuiba mizigo ambayo ipo ndani??
Aliniambia kwamba wakati wanampa gari kulikuwa hakuna kitu ndani na anasema kwamba aliuliza wakati wanampa gari walimwambia kama kulikuwa na vitu kwenye gari basi kila kitu wameiba Namibia ndio excuse zao wenyewe sasa sijui ni wakala au vipi hapo sijaelewa bado kama wameiba namibia je nani aliwapa watu wa namibia funguo za gari wakati gari ilikuwa transit tu??...inaumiza sana na ni vitu vya gharama sana nilikuwa nimeweka kwenye gari....Swali zuri, inalalamikiwa kuwa wizi wa bidhaa hutokea wakati wa ukaguzi. Wakala wako alikuelezaje?
Aliniambia kwamba wakati wanampa gari kulikuwa hakuna kitu ndani na anasema kwamba aliuliza wakati wanampa gari walimwambia kama kulikuwa na vitu kwenye gari basi kila kitu wameiba Namibia ndio excuse zao wenyewe sasa sijui ni wakala au vipi hapo sijaelewa bado kama wameiba namibia je nani aliwapa watu wa namibia funguo za gari wakati gari ilikuwa transit tu??...inaumiza sana na ni vitu vya gharama sana nilikuwa nimeweka kwenye gari....
Long live JF cheka mbaya sana.I think hii ndio njia sahihi kama mnataka kueleimisha na kusaidia jamii as well kutangaza biashara yenu. Mambo ya mjadala wakati mnajua ushauri na njia ambayo mteja anapaswa kifuata sioni kama inaleta tija.
Sanasana binafsi ningependa kupatiwa taarifa kama huyo dada sales executive je ameolewa au la..
Ongeza maisha mkuu 😃😃 life yenyewe imevaa buktaLong live JF cheka mbaya sana.
Aiseee nilihuzunika sana tena sanaaaa nimekuta gari empty kabisaa nilinunua maji fresh wakaiba na yenyewe maziwa chumvi sukari kila kitu walibebaaa ina maana sasa huu wizi utaendelea mpaka lini maana nashindwa kuelewa kwa kweliHaikupaswa kuwa hivyo. Kama ulikuwa na vielelezo, ungeweza kwenda kulifikisha suala lako kwenye vyombo vya sheria au mamlaka zinazohusika.