Yaah...ila awali alienda kama Girlfriend lakini sasa ameongezewa jukumu lingine la kuwa translator.Naj ni huyu huyu dem wa cheupe baraka da prince?
Mzuri naj.....Yaah...ila awali alienda kama Girlfriend lakini sasa ameongezewa jukumu lingine la kuwa ranslator.
Na huyo ndo mke bwana,.. Sio unakuwa na mke anataka kila show muende wote, kila unachopost nae kisimpite ataangalia watoto saa ngapi? Big up blue umeoa mke haswaaaaHata wahida mzuri sema mambo ya media yamempita
mara nyingi wanaume hutoka na wazuri lakini huoa wakawaida...I guess mwanamke sio sura ni tabia....Wale ni wazuri kuwatumia,siyo kuoa.
Huyo huyo 'gd' tazama video ya tabasamu ya blue ft steve, yule dem kwenye video ndio najNaj ni huyu huyu dem wa cheupe baraka da prince?
Kweli mkuuuHii mada ni ya muhim sana kama utafikiria kwa kina .... [HASHTAG]#NiKwanini[/HASHTAG]