Hivi ni kweli Mwendokasi wamekosa wataalamu kabisa wa kutengeneza mfumo wa malipo ya kuscan kwa kutumia smart phones. Hoja ya kwamba sio watu wote wana simu janja ni hoja mufilisi ukilinganisha na hoja ya kadi ambayo ilishaprove failure hapo awali.
Kwanini THINK TANK ya hii nchi haipendi kufikiria nje ya box?
Huu ni mradi ambao huko duniani wanatuona KITUKO maana umejaa ubabaishaji, ukosefu wa mipango ya mda mrefu na suluhu za kudumu.
Suala la kila uendapo unakuwa na msururu wa kadi hii sio maendeleo bali ni shida ukizingatia ukuaji wa tekinolojia na maendeleo.Kadi inaweza kubaki kwa WANAFUNZI na wasio na SIMU JANJA, ila kutokana na maendeleo na upatikanaji wa simu janja naimani watu wengi wengependa kutumia system ya KUSCAN.
Hii Sytem iungwe na mifumo ya kibenki ambapo MITANDAO ya simu ikiwa na CHANGAMOTO mtu anakuwa na option ya KUINGIA SIM BANKING na kupata huduma bila usumbufu wowote.
📌📌📌📌Tunapotaka kupunguza urasimu na upotevu wa mapato ni LAZIMA tuenforce CASHLESS PAYMENT SYSTEM ILIYO INTERGRATED NA SYSTEM ZOTE ZA HUDUMA NA SERIKALI.PIA ILIYO BORA NA INAYOPATIKANA 24/7 MWAKA MZIMA katika kila huduma zitolewazo hapa nchini.
📌📌📌Swala la upatikanaji wa mtandao hapo ndo WAHUSIKA WAWARUHUSU SASA STAR LINK kutuletea huduma ya mtandao ambayo itawezesha upatikanaji wa internent ya kasi na bora katika vipindi vyote vya mwaka.
System zote zinatakiwa ziwe na QR CODE kupunguza urasimu. Pia hili linaenda sambamba na kupunguza gharama za MABANDO.
Ikishindikana MRADI wapewe sekta binafsi hata wanne tofauti njia ya Tegeta iwe na kampuni yake,Njia ya Ubungo kampuni yake, Mbagala na Gongolamboto na zenyewe ziwe na makampuni yao pia. Waendeshe miradi serikali isimamie NAULI na KODI.
🚨🚨Atakaeshindwa kuendesha anyang'anywe mradi apewe anayeweza na vyote hivyo viwe na vipengele kwenye mikataba watayoingia na serikali .Kupitia huo ushindani huduma zitaimarika na ufanisi utaonekana.