Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Why cant they discuss and be challenged kabla ya kuja public?..ewura kama mamlaka ya udhibiti haitakiwi kuingiliwa na serikali ktk kutekeleza majukumu yake.
..wana taratibu zao za kufuata mpaka kufikia maamuzi ya kupandisha au kuteremsha bei ya bidhaa au huduma wanazosimamia.
..serikali inaweza kuwa-challenge ewura kama watakuwa wamekiuka sheria au taratibu zinazotakiwa kufuatwa ktk kufikia maamuzi na kutekeleza majukumu yao.
Hata mimi nashangaa kwamba Ewura kila wanachotaka kufanya huwa hawalazimiki kupata approval ya Wizara ya Nishati au huwa wanatufanyia maigizo baada ya kupima upepo?Hivi ni sababu zipi zinazofanya serikali ishindwe kuwaendesha EWURA??
Kwasababu naona kila kitu wanajipangia wao tu.
1. Bei za mafuta wanajipangia wao tu watakavyo.
2. Kuajiri wanajiajiria wenyewe tu wao wala hawataki utumishi iajiri badala ya wao.
Kuna nini hapo.
Jamani Mh. Rais Samia litazame hili kwa undani.
Why cant they discuss and be challenged kabla ya kuja public?
kama hawaingiliwi mbona Serikali imewadindia?.
Hatukatai mandate ya EWURA na uwezo wa Serikali..katika mfumo wa soko huria serikali haitakiwi kuwa ni mpangaji wa bei za bidhaa na huduma.
..badala yake mamlaka za udhibiti wa bidhaa na huduma ndizo zenye jukumu hilo kisheria.
..tatizo lililopo ni serikali kutokufuata sheria na kuingilia majukumu ya ewura pamoja na mamlaka nyingine za udhibiti.
..watendaji wa ewura nao huwa wananywea kwasababu wanajua kwamba serikali iko juu ya sheria. serikali ikiamua jambo lake hakuna mahakama au chombo chochote kinachoweza kuamua kwa haki.
Hata mimi nashangaa kwamba Ewura kila wanachotaka kufanya huwa hawalazimiki kupata approval ya Wizara ya Nishati au huwa wanatufanyia maigizo baada ya kupima upepo?
Hatukatai mandate ya EWURA na uwezo wa Serikali
My point is public optics
EWURA anatangaza Waziri anapiga stop
Hawakujadiliana?hakujua?ni nini hiki?.serikali haina coordination ama?.
tumlaumu nani?.
Hii EWURA wamrudishe yule mkurugenzi aliyesimamishwaga na PM.Bwana Felix Ngamlagosi naimani atatusaidia Sana.Maana Mpaka sasa Toka aondoke imepwaya Sana.Ewura inatakiwa iwe ni Wakala chini ya Wizara ya Fedha au /Viwanja na Biashara.
Uthibiti wa Ewura ni Price Control kwenye huduma za Nishati na Maji ,hata hivyo wanaweza kuongeza na Wakala wa vipimo wakawa under One Roof.
Hii EWURA wamrudishe yule mkurugenzi aliyesimamishwaga na PM.Bwana Felix Ngamlagosi naimani atatusaidia Sana.Maana Mpaka sasa Toka aondoke imepwaya Sana.Ewura inatakiwa iwe ni Wakala chini ya Wizara ya Fedha au /Viwanja na Biashara.
Uthibiti wa Ewura ni Price Control kwenye huduma za Nishati na Maji ,hata hivyo wanaweza kuongeza na Wakala wa vipimo wakawa under One Roof.
Mkuu Taasisi sio mtu, taasisi ni mfumo jumuishi wenye mission na vision ya mbali.Hii EWURA wamrudishe yule mkurugenzi aliyesimamishwaga na PM.Bwana Felix Ngamlagosi naimani atatusaidia Sana.Maana Mpaka sasa Toka aondoke imepwaya Sana.
Hakika Mmojawapo ni huyo Ngamlagosi.Enzi zake Aliweza kufanya Kazi nzuri sana.Atamsaidia Mama Yetu vyema kwenye haya mambo.Mkuu Taasisi sio mtu, taasisi ni mfumo jumuishi wenye mission na vision ya mbali.
Viongozi wenye ubunifu na mawazo /maono mazuri wapo.
Ili Ewura ilifanye vyema ikaribishe maoni ya wadua ili iyatumia kuboresha huduma kwa kuanzia.
Mimi nadhani wapo watu wengi wanaoweza kufanya kazi vizuri hapo.Hakika Mmojawapo ni huyo Ngamlagosi.Enzi zake Aliweza kufanya Kazi nzuri sana.Atamsaidia Mama Yetu vyema kwenye haya mambo.