Hivi kwanini Serikali inashindwa kuwaendesha EWURA?

Why cant they discuss and be challenged kabla ya kuja public?

kama hawaingiliwi mbona Serikali imewadindia?.
Sheria iliyounda EWURA ni tofauti na ile iliyounda taasisi kama TANESCO na taasisi nyingine za serikali. EWURA ni taasisi huru na iliwekwa hivyo makusudi na ndvyo ilivyo kwa taasisi zingine kama EWURA zilizoko nchi nyingine.
 
Nakubali na yeye anaweza kuwa ni mmojawapo, lakini approach unayotumia kumnadi inaweza kusababisha kumkosa.
Hakika Mmojawapo ni huyo Ngamlagosi.Enzi zake Aliweza kufanya Kazi nzuri sana.Atamsaidia Mama Yetu vyema kwenye haya mambo.
 
Sheria iliyounda EWURA ni tofauti na ile iliyounda taasisi kama TANESCO na taasisi nyingine za serikali. EWURA ni taasisi huru na iliwekwa hivyo makusudi na ndvyo ilivyo kwa taasisi zingine kama EWURA zilizoko nchi nyingine.
Ni sawa, lakini ingelipaswa iiunganishe na tume ya ushindani.
 
Nchi masikini hutumia wasomi/wataalam wao kudhibiti (kuweka urasimu na rushwa) katika sekta mbalimbali.
Nchi zilizoendelea huweka taasisi/ wataalam za kuwasiadia wananchi (watoa huduma na walaji) waendeleze shughuli za uzalishaji/biashara zao.
 
Hivi kipindi cha jiwe mafuta yalisimama chini ya buku mbili ila kwa sasa naona yatafika 5000 lita ni jambo la mda tu maana wauza mafuta sio watu wazuri soko likipungua ni wagumu sana kupunguza.
Uwongo.mafuta,sement ,sukari zimepanda bei huyu mwamba akiwa hai
 
Ni sawa, lakini ingelipaswa iiunganishe na tume ya ushindani.

Nakubali na yeye anaweza kuwa ni mmojawapo, lakini approach unayotumia kumnadi inaweza kusababisha kumkosa.
Mimi simnadi na Wala simfaham,nilisoma tu thread yake humu ndani kipindi anasimamishwa.Ndio nikakumbuka alifanya Kazi Enzi za Serikali ya JK hadi ya Hayati JPM ndio akasimamishwaga.Mkuu kwani kusema hivyo namnadi mtu???
 
Hii EWURA wamrudishe yule mkurugenzi aliyesimamishwaga na PM.Bwana Felix Ngamlagosi naimani atatusaidia Sana.Maana Mpaka sasa Toka aondoke imepwaya Sana.

..Kuna utaratibu wa kumpata Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, na zoezi hilo lazima liwe la ushindani.

..Bodi ya wakurugenzi ya Ewura huwa inawahoji wanaoomba nafasi ya Mkurugenzi Mkuu.

..Baada ya kufanya mahojiano majina matatu huwasilishwa kwa Waziri wa Maji ambaye ndiye mwenye mamlaka ya kuteua Mkurugenzi Mkuu wa Ewura.
 
Uwongo.mafuta,sement ,sukari zimepanda bei huyu mwamba akiwa hai
Acha uongo ww harafu mwogope Mungu baada y mwezi tu Mwamba kuondoka ndo vitu vikaanza panda mpaka mwamba anaondoka petrol 1880 km sikose sasa hivi ina 2500 na usitegemee kushuka mzee hapo itafika 5000 ni swala la mda
 
Hakuna taasisi ya serikali itakuwa fully autonomous, yaani ina absolute power ya kufanya chochote, Hiyo.ni taasisi ya serikali chini ya wizara ya maji,japo kuna aspect ya Nishati.kwaakili ya kawaida kwakuwa majukumu yake ni udhibiti wa maswala nyeti yanayogusa raia moja kwa moja kama gharama za maji au nishati (mafuta,gesi,umeme etc) kuna wakati katika hali ya kawaida walitakiwa waombe muongozo katika kutoa bei mpya tena itakayozidisha ugumu wa maisha kwani watakaolaumiwa ni serikali kwa ujumla.kwa hili la juzi walichemsha kulingana na hali ilivyokuwa huku "tozo" kubwa zikilalamikiwa zishushwe,huku luku-property taxes, nk. Sasa wewe unakuja na 'nyundo' nyingine tena kali ambayo hiyo tena ndio itapandisha gharama zote za maisha.ule ungekuwa ni uchonganishi mkubwa kati ya serikali na wananchi wake as it was a very wrong timing,hata kama hesabu zinasoma hivyo,kuna maslahi zaidi ya kuangalia.
 
EWURA ni mateka inaendeshwa na mabepari wenye chenchi zao

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Mimi simnadi na Wala simfaham,nilisoma tu thread yake humu ndani kipindi anasimamishwa.Ndio nikakumbuka alifanya Kazi Enzi za Serikali ya JK hadi ya Hayati JPM ndio akasimamishwaga.Mkuu kwani kusema hivyo namnadi mtu???
Yawezekana ndio au sio.
 
Hua siwaelewagi..mi Naona kama wanadhibiti bei kushuka..
Ooh yes hawa ni vilaza kabisa, halafu most of wajumbe wao wa Bodi ni vilaza kabisa, nilishangaa sana kusikia mwanamke mmoja hivi eti nae ni mjumbe wa Bodi ya EWURA.

Huyu mwanamke ni kilaza kabisa kashidwa hata kuisimamia fani yake ya HR amejaa majungu na fitina kwa wafanyakazi, ni mchonganishi na muharibifu wa mafaili ya watumishi. Kwasasa simtaji jina!!
 
Mkuu Taasisi sio mtu, taasisi ni mfumo jumuishi wenye mission na vision ya mbali.
Viongozi wenye ubunifu na mawazo /maono mazuri wapo.
Ili Ewura ilifanye vyema ikaribishe maoni ya wadua ili iyatumia kuboresha huduma kwa kuanzia.
Wewe vipi?? Tunamtaka huyo FELIX, ndiye mbeba maono!!
 
Ewura ni sehemu ya Serikali,kama wanafanya mambo ambayo wengine serikalini hawajuhi,ni matokeo ya kuparanganyika kwa uongozi wa serikali ya huyu mama,
Kama mama hawezi kutoa mwongozo,kila Idara itajifanyia inavyotaka bila kujurisha wengine
 
Tunasema Bodi ya EWURA imejaa vilaza, how comes Bodi iliyojaa vilaza imlete Mkurugenzi Mkuu smart?? Ondoeni baadhi ya wajumbe ambao ni vilaza, kuna mwanamke mmoja hivi sasa hivi yuko huko kusini kwenye Bodi ya huyo mwanamke najua haisaidii EWURA, huyo ni kilaza amejaa husuda na kujishebedua tuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…