Haya ndiyo mapumbavu kabisa, yaani hii nchi ukifikiria sana unaweza ukapiga watu risasi, mimi napambana nihamie CanadaNi kupoteza muda kuwategemea wabunge wa ccm (ambao ndio wengi) usitarijie lolote la maana. Kumbuka ndio waliopitisha sheria kandamizi za mifuko kulipa kwa mkupuo 33% kabla Raisi hajaingilia kati!
Kuwategemea hawa wabunge wa ccm ni kupoteza muda na wakati.
Dawa hapa ni TUCTA kwenda mahakamani kudai haki za wafanayakzi ktk mafao, sema na TUCTA yenyewe hakuna viongozi bali siku hizi kuna wachumia tumbo!
Na NSSF nao walikuwa malofa, wankubalije kutoa nyumba ambazo sio serikali kutumiwa na watumishi wa serikali ilhali serikali ina hela za kuchezea kwanini isiwalipie watumishi kodi ya pango ?, hizo nyumba ni jasho letu sisiLeo nimemsikia Mheshimiwa Rais akitoa maelekezo kuwa watumishi wa halmashauri wilaya ya mpya ya Kigamboni wapewe nyumba za NSSF na wakae bure mwaka mzima! Zile sio nyumba za Serikali na kwa kweli wafanyakazi wa nchi hii hawana mtetezi
Sent using Jamii Forums mobile app