Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndio hapoHamna cha kumlaumu shetani wala nini NI MTU KUJIENDEKEZA TU, embu fikiria unapanga kabisa leo naenda kuchepuka na nitafanya hivi na hivi...iweje ukifumaniwa ndio useme Shetani kanipitia...ina maana ulivyokuwa unapanga shetani hakuwepo?
Kila mtu akifumaniwa awe mwanamke au au mwanaume utetezi wa kwanza ni "Nisamehe shetani alinipitia".
Mbona wezi huwa hawatoi sababu hii? Shetani ana nini na wachepukaji?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kama NgerejaKwa sababu gegedo ni tendo tukufu na shetani anapenda kuharibu tendo tukufu ili tumuudhi Mungu. Wizi si unaweza kuiba ukiona soo unarudisha kwa mwenye mali yake kama alivyofanya Ngeleja.