Hivi kwanini shetani anatupitia kwenye uzinzi?

South

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
3,514
Reaction score
5,143
Kila mtu akifumaniwa awe mwanamke au au mwanaume utetezi wa kwanza ni "Nisamehe shetani alinipitia".
Mbona wezi huwa hawatoi sababu hii? Shetani ana nini na wachepukaji?
 
ASEEE HALI SI HALI YAN KUNA WATU WANAPITIWA HADI NA SHETANI???
 
Tuzilaumu nafsi zetu kwanza kabla ya kumlaumu shetani
 
Hamna cha kumlaumu shetani wala nini NI MTU KUJIENDEKEZA TU, embu fikiria unapanga kabisa leo naenda kuchepuka na nitafanya hivi na hivi...iweje ukifumaniwa ndio useme Shetani kanipitia...ina maana ulivyokuwa unapanga shetani hakuwepo?
 
Si ndio hapo
 
Hatuko tayari kukubali makosa yetu

Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
 
Kale kanaitwa kapepo ka ngono kanashawishi balaaa kanakupa hadi mbinu ila ukishafumwa kanakimbia ndo unaanza kujielewa
 
Kila mtu akifumaniwa awe mwanamke au au mwanaume utetezi wa kwanza ni "Nisamehe shetani alinipitia".
Mbona wezi huwa hawatoi sababu hii? Shetani ana nini na wachepukaji?

Kwa sababu gegedo ni tendo tukufu na shetani anapenda kuharibu tendo tukufu ili tumuudhi Mungu. Wizi si unaweza kuiba ukiona soo unarudisha kwa mwenye mali yake kama alivyofanya Ngeleja.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kama Ngereja
 
Anatupitia sababu hatutaki kutekeleza aliotuamrisha mungu

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Hatupitii ila ndio sababu rahisi ambayo huwayinatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…