Songwe Yetu
Member
- Nov 22, 2021
- 84
- 99
Wilaya Songwe Kuna shida mahali kwenye Kila kitu kuanzia miradi yake mpaka mpaka watu wake.
Kwa taarifa zilizopo watumishi walioajiriwa mwaka jana HawaJathibitishwa kazini.kila siku Siasa tu ukienda kuuliza Kwa wenye mamlaka. Inaenda mwaka was pili sasa
Pia walioajiriwa mwaka huu hawajapata pesa y kujikimu pamoja na mshahara. Hivi hii wilaya inashida Ganitamisemi iangalie Kwa jicho la pembeni