Hivi kwanini tukimwaga tu tunaanza kujilaumu? na kujiona tumejikosea

Hivi kwanini tukimwaga tu tunaanza kujilaumu? na kujiona tumejikosea

Hiyo ni kwa wapiga puli na wachukua malaya, huwezi kua na hisia hizo kama uko na mke wako.
 
Epuka sana ngono zembe.

Kila ngono ni maagano, ngono ni mafungamanisho ya kiroho. Ndiyo maana mtu akifanya ngono na mtu mwenye mikosi/baraka naye anapata mikosi/baraka.

Kujibu swali lako ni kwamba:-majuto ya nafsi baada ya kumwaga hutokea kwa mchepuko na siyo mke wa ndoa. Majuto hayo ni taarifa kuwa umepokea mikosi na mabalaa.
 
Back
Top Bottom