Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Kwanza vitu vingine kwenye maisha sio lazima ni sifa tu, hakuna utofauti wowote kwenye ndoa either ufanye sherehe au usifanye, lakini kumekua na kero kubwa sana juu ya hii Michango ya harusi, ndoa sio bahati mbaya ni maandalizi ya muda mrefu, unakuta mtu huna mazoea naye ya karibu sana kwa sababu ulishakutana naye mara moja anakuletea kadi, Mwingine anakuona ona tu kanisani nayeye anataka mchango, haya mambo ya harusi ni kufata mkumbo usipokua na uwezo wa kufanya sherehe achana navyo, unasumbua watu unawatoa watu mbaali kisa sherehe ya siku moja?....
Ukitaka kufunga ndoa nenda kanisani na mtu wako kwa mchungaji ufungue ndoa na mashahidi zako, unakuta mtu wameshakaa wee, wamezaa na watoto wa kutosha alafu unasikia ety tupe michango tunataka tukabariki ndoa, najua wengi humu mna hizo pigo, acha mambo ya kusumbuana na kupigia watu simu, unakuta mtu umeungwa kwenye magroup zaidi ya 10, kadi zinazokufata mkononi zinafika 10, sasa inawezekanaje hii?.....