Hivi kwanini tunafikiri kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni vibaya?


Umeamka salama? Nahisi umepungukiwa
 
Sijui hata nichangie nini,ngoja niendelee kuwasikiliza labda ntapata pa kuanzia
 
Hiyo premise yako yenyewe sio kweli.
Ni wangapi wanaamini sex sio sawa
kati ya watu ambao hawajaoana?
 
niliwahi kuambiwa hapa JF amri ya sita inasema ''usizini'' meaning ukiwa married usitoke nje ya ndoa na kwenda kwa mwingine. uki-doo b4 ndoa sio against amri ya sita so its okay. unfortunately sijui greek so I cant read the untranslated bible version. naombeni kueleweshwa na wanajamii
 

Naona ume-edit, kwenye red hapo badala ya ndoa ukaandka mapenzi, safi lakini ukweli ni uleule, si vyema kufanya mapenzi na mtu usiyemuoa, usiye naye kwenye ndoa!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…