ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Yaani tupo kwa ajili hiyo tu?Hilo tu mkuu,aisee
tunaishi ili tufanye ibada (tumuabudu yule aliotuumba bila ya kumshirikisha na kitu chochote)
Sasa mbona umejibu?Kwa hiyo siyo faida wala nini ni lazima.Swali lako sijalielewa vizuri, tunaishi kwa sababu tulijikuta tumezaliwa watu. Hakuna aliyechagua kuzaliwa. Kuishi ni lazima, na masumbufu ya maisha ni mhimu ili uweze kuishi na hili waweza kuchagua sasa, ukiamua kutotafuta utakufa njaa na mwisho ukaishia hapo, lkn ni vema unaowazaa ambao hawana uwezo wa kuchagua ukawahurumia ili waweze kuishi vizuri.
What is the purpose of life?Swali lako sijalielewa vizuri, tunaishi kwa sababu tulijikuta tumezaliwa watu. Hakuna aliyechagua kuzaliwa. Kuishi ni lazima, na masumbufu ya maisha ni mhimu ili uweze kuishi na hili waweza kuchagua sasa, ukiamua kutotafuta utakufa njaa na mwisho ukaishia hapo, lkn ni vema unaowazaa ambao hawana uwezo wa kuchagua ukawahurumia ili waweze kuishi vizuri.
What is the purpose of life?tunaishi ili tufanye ibada (tumuabudu yule aliotuumba bila ya kumshirikisha na kitu chochote)
Exactly.What is the purpose of life?
Bahati gani sasa mkuu.Unaishi ili ule AU unakula ili uishi?
Kuishi ni bahati Kufa ni Lazima
umevurugwa wewe, kwani we ndo kiumbe wa kwanza kuja duniani, dunia inazaidi ya miaka 30M. fanya maendeleo kwa kizazi chako la sivyo utacha majanga huku nyuma siku umerudi mavumbini. miafrika tunawazaga mbofu mbofu sanaItifaki izingatiwe,,mabibi na mabwana nawasalimu.
Nimekaa hapa nawaza,hivi kwa nini tunaishi?ni kwa faida ya nani?Tunafanya kazi ili tule,tuvae,tujenge,nk ndiyo kuishi kwenyewe.tunaoa,tunazaa,tunakufa,ndiyo mwisho hapo.Lakini hayo masumbifu yote ni ya nini? Nani anajua.
Kwani uongo mkuu?nimevurugwa tikitiki[emoji135][emoji135].umevurugwa wewe, kwani we ndo kiumbe wa kwanza kuja duniani, dunia inazaidi ya miaka 30M. fanya maendeleo kwa kizazi chako la sivyo utacha majanga huku nyuma siku umerudi mavumbini. miafrika tunawazaga mbofu mbofu sana