Hivi kwanini tunasinzia upande wa kulia pekee

Hivi kwanini tunasinzia upande wa kulia pekee

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kwenye magari ukikaa ukaanza ku falling a sleep lazima shingo iende upande wa kulia sijawahi kujikuta nimesinzia Kwa upande wa kushoto. Tafiti zinahitajika ili tujue haswa sababu ya hili jambo.

images (15).jpeg
images (18).jpeg
images (14).jpeg
 
Kwenye magari ukikaa ukaanza ku falling a sleep lazima shingo iende upande wa kulia sijawahi kujikuta nimesinzia Kwa upande wa kushoto. Tafiti zinahitajika ili tujue haswa sababu ya hili jambo
Hebu leta picha za waliokaa upande wa kushoto wa gari tuone kwanza..

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Mtu analia upande wenye kitu cha kuegemea bila kujali ni kulia au kushoto
 
Safi inawezekana ikawa na upande wa kushoto pia ila ni udadisi mzuri unaoleta uzingativu wa matukio madogo madogo
 
Back
Top Bottom