Hivi kwanini tunasinzia upande wa kulia pekee

Kwenye magari ukikaa ukaanza ku falling a sleep lazima shingo iende upande wa kulia sijawahi kujikuta nimesinzia Kwa upande wa kushoto. Tafiti zinahitajika ili tujue haswa sababu ya hili jambo
Hebu leta picha za waliokaa upande wa kushoto wa gari tuone kwanza..

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Mtu analia upande wenye kitu cha kuegemea bila kujali ni kulia au kushoto
 
Safi inawezekana ikawa na upande wa kushoto pia ila ni udadisi mzuri unaoleta uzingativu wa matukio madogo madogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…