gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Heri ya mwaka mpya wana JF.
Kwa muda mrefu sasa yanga a.k.a kayoko fc wamekuwa na shida ya mawinga kwa maana ya natural wingers kumbuka pacome sio winga kiasili ni no 10.
Kwanini tusifanye hii dili tuwape joshua mutale"budo" fundi wa boli a.k.a mdogo wake na messi na pesa kidogo kama milioni 50 halafu mtupe pacome kuliko kuhangaika kusajili garasa kama ikangalombo ambaye alikuwa mbeba viatu wa mpanzu alipokuwa vita club.
Nawaona mashabiki wa yanga mnavotaka kupinga hii dili kwa nguvu ni kwasababu tu hamjui boli nyinyi yanga mna shida ya winga na mutale ndio winga mwenyewe wa kuwasaidia angalau mmalize nafasi ya pili msishuke daraja.
"KAFA PAKA, KAZIKWA NYAU"
"A man called Gonamwitu"