Unauliza nini tena hujui kwa nini wanakuuliza kama unapata shilingi 5 utawatunzaje?
Mie nadhani unakutana na wenye tamaa jaribu kuendelea kusaka maana mwanamke mwenye akili hatakuuliza moja kwa moja atatumia ujanja kukusoma na kujua katika maongezi yenu na hutajijua kuwa kama anataka jua amekufuatilia
Na akitaka anachomoka au anakaa nawe akijua mtajenga maisha pamoja from A.
Endelea kusaka ila duh unawapatia wapi hao wanaouliza
ukimuona wa hivyo jua ana tamaa na anafuata hela.cha kufanya usimuache hivi hivi,mudanganye una mshahara mkubwa ili akushobokee then unamchoma baada ya hapo unakula kona na siku ya kumchoma humpi hata shilling 10.ukiona anakugasi unamuambia "SIKUPENDI".mia
Wala sikusaidii inategemea na wewe ulimwingiaje sasa kuna mwingine unmtongoza mwanamke siku hiyo hiyo unampa bussiness card imeandikwa director kampuni ya mjomba wako unataraji nini kuna mtu anaetaka shida sikuhiizi ingawa si wotte m wangu nilikutana nae open napiga paper hana kazi m ndio napiga piga nimalizie degree yanagu baada ya kuachana na civ engineering nimeoana nae hana shi wala she nikamwamini mungu ndie alietupangia leo napanda shangingi la serikali nikiitaji napiga simu ni kumtanguliza mungu akuonyeshe nani wa kweli basi...
Si kwambii ukatafute wa serikalini am lah mtangulize mungu mema ya nchi unakula hapa hapa dunian nani kakwambia mema ya nchi iko mbinguni baibo iko wazi mbingu ni za mungu na nchi ni za dunia..sasa we ishi kwa shida usianze kujitoa kwenye hizo shida ujipe moyo wa kula mema ya nchi ukifa loh hukohukumu tu kwa kwenda mbele!
Inategemea, nadhani kwa future ni kuangalia maelewano ndani ya uhusiano. Anayeulizia mshahara huyo anataka kudanganywa sasa! Hapo ndipo wadada wengi wanapotea....
Hakuna uhusiano wowote kati ya mshahara na mapenzi ya kweli. Ni hivi, akuanzae mmalize. Akikuuliza na wewe muulize kiasi chake cha mshahara kwani asije akaku ATM bureee.