Hivi kwanini upinzani wasiamue kwa pamoja kusinamia hili?

Hivi kwanini upinzani wasiamue kwa pamoja kusinamia hili?

SalahDaim

Member
Joined
Dec 24, 2017
Posts
8
Reaction score
0
Habari za muda huu ndugu wana JF, natumai mnaendelea vyema na siku kuu. Nije kwenye hoja hii yangu ya Leo
Kwa hali ilivyo sasa inaonekana upinzani hawana hoja za msingi za kushindana na CCM.
Mimi kwa maono yangu nilikua naona ni vyema wakaungana kwa pamoja kufufua suala la katiba mpya, jambo ambalo litawapa credibility kubwa kwenye jamii na hata mashirika mengi ya kiraia.
Labda kwa mawazo yenu mnaonaje hili. ?

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom