Hivi kwanini upungufu wa nguvu za kiume ndio unaongelewa na unaonekana ni janga wakati upungufu wa nguvu kike ndio tatizo kubwa zaidi

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Hii sio sawa.

Wanawake wengi wana upungufu wa nguvu za kike, wengi K zao hazina afya tena kama inavyobidi kuwa. Zamani mwanamke ukimshika kiuno tu au upaja huyo anaanza kuona aibu na anabana miguu maana kule chini panakua tyr pako na chemchem, anaogopa isionekane.

Jamii imekalia kumnanga mwanaume tu na ukosaji wa nguvu za kiume, kwenye familia au ndoa kama sex life sio nzr basi analalamikiwa mwanaume wakati mwanamke ndie mwenye mchango mkubwa kwenye swala hilo

Kila kona kuna dawa za kuongeza nguvu za kiume lkn hakuna dawa za kuongeza nguvu za kike. Kwa nn huu uonevu umeshamiri hivi?

Huu ni uonevu na ukosaji wa akili. Ninafungua kesi hivi karibun
 
Mheshimiwa Dkt. Gwajima D kwa nn hata serikali inapuuzia upungufu wa nguvu za kike?

Hili ni janga kama yalivyo majanga mengine ya kijinsia. Itapendeza kama kukiwa na policy maalum ili kunusuru ndoa na familia zetu
 
Pia haya mambo naona masikini ndo wanauziwa dawa za nguvu .

Unakuta msikitini tukimaliza ibada masikini ndo wanabaki ili kununua Dawa Ila watu waliojipata hawanunui
 
Hii sio sawa.

Wanawake wengi wana upungufu wa nguvu za kike, wengi K zao hazina afya tena kama inavyobidi kuwa. Zamani mwanamke ukimshika kiuno tu au upaja huyo anaanza kuona aibu na anabana miguu maana kule chini panakua tyr pako na chemchem, anaogopa isionekane.

Jamii imekalia kumnanga mwanaume tu na ukosaji wa nguvu za kiume, kwenye familia au ndoa kama sex life sio nzr basi analalamikiwa mwanaume wakati mwanamke ndie mwenye mchango mkubwa kwenye swala hilo

Kila kona kuna dawa za kuongeza nguvu za kiume lkn hakuna dawa za kuongeza nguvu za kike. Kwa nn huu uonevu umeshamiri hivi?

Huu ni uonevu na ukosaji wa akili. Ninafungua kesi hivi karibun
Hii ni biashara nzuri tu kama ilivo zingine lakini kiuhalisia tatizo la nguvu za kiume limekaa kisaikolojia zaidi mbali na kua kimwili tofauti na linavochukuliwa.
 
Mwanaume ndie mwenye hulka ya kutaka kuonekana mbabe kwenye tendo ndio maana amekua mlengwa wa biashara.

Upungufu wa nguvu za kiume ni stereotype tu imetengenezwa kwenye jamii watu wapige hela.
 
Nini kifanyike.

Unaweza kweli jiridhisha wewe ukapita hivi ukamuacha na ukaka wake?
 
Kwa hawa wanawake wa kisasa ambao wanaangalia hela tu we m-treat kama malaya tu ukimaliza haja zako inatosha. Ila kama ni mkeo kaeni chini muangalie tatizo liko kwa nani kati yenu then tafuteni tiba
 
Back
Top Bottom