Babake mwanaidi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 641
- 694
Nimefanya uchunguzi wangu binafsi nimegundua Wakenya (sio wote) wanawahusudu sana Wazungu tofauti kabisa na watanzania wenzangu. Nimeshuhudia Kenya mwanamke yupo tayari kwa namna yeyote aolewe na mzungu atajiona bora kuliko mkenya mwenzake hali kadhalika na kwa wanaume pia.
Leo ningependa kufahamu hii mentality ya mkenya kumuhusudu sana mzungu ilitoka wapi na kwanini.?
Tafadhali msinipopoe nimeuliza kwa nia njema tu!
Leo ningependa kufahamu hii mentality ya mkenya kumuhusudu sana mzungu ilitoka wapi na kwanini.?
Tafadhali msinipopoe nimeuliza kwa nia njema tu!