Hivi kwanini Wakenya mnawapapatikia sana Wazungu?

Babake mwanaidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
641
Reaction score
694
Nimefanya uchunguzi wangu binafsi nimegundua Wakenya (sio wote) wanawahusudu sana Wazungu tofauti kabisa na watanzania wenzangu. Nimeshuhudia Kenya mwanamke yupo tayari kwa namna yeyote aolewe na mzungu atajiona bora kuliko mkenya mwenzake hali kadhalika na kwa wanaume pia.

Leo ningependa kufahamu hii mentality ya mkenya kumuhusudu sana mzungu ilitoka wapi na kwanini.?

Tafadhali msinipopoe nimeuliza kwa nia njema tu!
 
Japo kuna ka ukweli. Lakin hujachek wadada wa bongo.. ikitokea chance ataenda nae hata kama ni huyo mzungu ni mzee
 
Dada zangu wakitanzania nawajua sana .wapo wachache wanaopenda Wazungu kwa maslahi lakini wengi hawana mzuka na Wazungu tofauti na Wakenya unaweza kukuta mwanamke mrembo anajiweza lakini anampapatikia mzungu kuliko mkenya mwenzake nimeyaona haya.
Japo kuna ka ukweli. Lakin hujachek wadada wa bongo.. ikitokea chance ataenda nae hata kama ni huyo mzungu ni mzee
 
Huu umbea wa Facebook na mapenzi peleka kwenye jukwaa la mapenzi la JF. Ifahamike Kenyan section ina hadhi yake, huku tunajadili vitu vinavyohitaji matumizi ya ubongo, kama vile udadavuaji wa uchumi na maswala mengine ya great thinkers.
 
Sawa mzee, umeshamaliza kutoa povu. Sasa rudi kwenye mada
 
Imekingia hii.nimewauliza Wakenya na hapa ndo penyewe.uspaniki braza
Huu umbea wa Facebook na mapenzi peleka kwenye jukwaa la mapenzi la JF. Ifahamike Kenyan section ina hadhi yake, huku tunajadili vitu vinavyohitaji matumizi ya ubongo, kama vile udadavuaji wa uchumi na maswala mengine ya great thinkers.
 
Mada za kipuzi na umbea pelekea watanzania wenzako MMU.
 
Kule MMU hata ni rahisi kupata mume, nashauri uwahi huko....hehehehe
Bila shaka jana umebugia matonge ya omo ukizani ni ugali. Pole sana, bila shaka hili ni povu la mwisho. Kuna mdau kasema ipo kwenye DNA yenu, toa maoni yako.
 
Bila shaka jana umebugia matonge ya omo ukizani ni ugali. Pole sana, bila shaka hili ni povu la mwisho. Kuna mdau kasema ipo kwenye DNA yenu, toa maoni yako.

Haya bana umeshinda kwenye mipasho, hehehe endeleeni lakini sidhani kama huku jukwaa la Kenya mtawapata waume, nitakaa pembeni nikijisomea full mitongozano.
 
Mkenya daima ni limbukeni sana wa maisha kuliko mtu yeyote hapa Afrika.

Ni jamii ya ajabu sana ukiishi nayo.
Unaweza kuishangaa asubuhi halafu ukaishangaa tena mchana halafu ukaishangaa tena jioni.
Ikifika wakati wa kulala ukaishangaa tena.

Nafikiri sababu kubwa ni utumwa wa fikra ulioota mizizi tangu enzi za ukoloni mpaka leo.
 
What do you know you hideous cartoon with trolling sentiments?your posts are always full of shit. What do you possess btwn your ears?
Wakati mwingine uwe unatumia ubongo kabla ya kutaipu .
Unapenda kuhukumu wakenya sana. Nyie wabongolala si malaika
 
Haya bana umeshinda kwenye mipasho, hehehe endeleeni lakini sidhani kama huku jukwaa la Kenya mtawapata waume, nitakaa pembeni nikijisomea full mitongozano.
Hii ishu megusa mstari wako wa equator! Umeona ujibane kwenye kona
 
Wazungu wagani hao churaii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…