MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Aisee nimejaribu kila mbinu unatoka lakini hauwi mtamu kama ule niliokula juzi aisee.......Wali kwenye rice cooker unatoka vizuri kuna zingine zinatoa hadi ukoko.
Me nadhani kwenye wali huweki viungo ndio maana, tupia garlic, au hiliki, au mdalasini, au binzari nyembamba, au karoti au tui la nazi.... hapo lazima kitu kinukie wakati kinachemka.
Lakini Mchele tu na mafuta hahaha.
NB: Jiko la mkaa au la kuni linapika vizuri sana wali kuliko majiko mengine.
Daah inawezekana mkuu......Hujui kupika mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mliokuja mjini na mbio za mwenge mnaonekana tu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa kwa viungo vyote hivyo si bora upike tu pilau ilaa tuseme ukweli rice cooker minakuwaga kama inababuaa mchele ukiiva unakuwa kama sponge fulani yaani kuna kitu kinakosekana smae applied to jiko la umeme ilaa mkaa ni balaaWali kwenye rice cooker unatoka vizuri kuna zingine zinatoa hadi ukoko.
Me nadhani kwenye wali huweki viungo ndio maana, tupia garlic, au hiliki, au mdalasini, au binzari nyembamba, au karoti au tui la nazi.... hapo lazima kitu kinukie wakati kinachemka.
Lakini Mchele tu na mafuta hahaha.
NB: Jiko la mkaa au la kuni linapika vizuri sana wali kuliko majiko mengine.
Tamu sana hata maharage ya kwenye chungu ni balaaa.Michuzi wa nyama wa kwenye chungu una ladha si ya dunia hii, ukijaribu sufuria utaweka pembeni
Sidhan mkuu,Wasalaam,
Mimi bwana huwa napikia wali kwenye Rice Cooker lakini juzi nimeenda kumtembelea dada moja ni Mzenji wali wake kwenye mkaa na wakati unapikwa nikasikia harufu ile nzuri nzuri kabisa na wali wake ulivyotoka aisee niliona kabisa utofauti na ule wa Jiko la mzungu. Sasa wadau ili wali uwe vizuri ni lazima nifanye mabadiriko au mimi ndiyo sijui kupika ???
Imani tuWasalaam,

Sijasema aweke vyote kwa wakati mmoja ndio maana nikaweka AU, AU, AU.Sa kwa viungo vyote hivyo si bora upike tu pilau ilaa tuseme ukweli rice cooker nminakuwaga kama inababuaa mchele ukiiva unakuwa kama spnge flani yaan kuna kitu kinakosekana smae applied to jiko la umeme ilaa mkaa ni balaa
Unajua hiki kitu me pia sijawahi kuelewa... kwann wali wa msibani unakuaga mtamu sana kuliko hata wali wa harusini?? LoL.Wali wa msibani ni habari nyingine
Sijui sababu tunakula na machungu, sijui mkuu ila najua kwa hakika mpunga wa msibani hauna mpinzani.Unajua hiki kitu me pia sijawahi kuelewa... kwann wali wa msibani unakuaga mtamu sana kuliko hata wali wa harusini?? LoL.
Kwenye rice cooker wali unaiva haraka,kwenye mkaa wali unaiva taratibu ,,kuna tofauti sana ya chakula kinachoiva haraka na chenye kuiva pole pole,siku zite chakula cha kwenye mkaa kitamuAisee nimejaribu kila mbinu unatoka lakini hauwi mtamu kama ule niliokula juzi aisee.......