wape wape vidonge vyao,wakimeza wakitema ni shauri yao..............................im really curious, kwanini wanaume huwachoka wake zao na kutafuta kazi za nje? kama wanawake tunaweza kuwa waaminifu kwanini nyie mshindwe?
mtu anakuzalisha alafu ukisha haribika mwili, anatafute waschan wadogo, inauma sana. au wanadhani wao hawa haribiki? hata wanaume hupata kitambi na kua na mwili mbaya but wanawake huvumilia na kuendelea kumpenda.
kuna solution ya hili, kumfanya mwenzako asikuchoke?
im really curious, kwanini wanaume huwachoka wake zao na kutafuta kazi za nje? kama wanawake tunaweza kuwa waaminifu kwanini nyie mshindwe?

kweli kuna wanawake wanajua kujiachia,alikuwa mrembo akishaolewa hata kuoga ni kwa kulazimishwa.Wanawake wanapenda kuchokozwa, wanafurahi
Usipowachokoza wananuna
BTW, kuzaa si lazima uchoke
Mtoto akifikisha miaka 2, rudi kwenye mstari, acha kunywa mtori kisadolini
Wale wa nje wanajijali, hata wakizaa wanapiga mazoezi
Afu kupiga kazi za nje inaleta u-expert
Si unaona hata ukienda kufanya kazi hapo kongo tu unaanza kulipwa kwa madolari?
Uwe mbayuwayu, uchanganye na zako
Kanuni ya maumbile itakuambia hakuna mtu mwenye kuridhika akishazoea kitu.
hahahhahahahahahhah! eti kensa..umenichekesha! nenookweli kuna wanawake wanajua kujiachia,alikuwa mrembo akishaolewa hata kuoga ni kwa kulazimishwa.
na mwanamke ukishapigwa gap na uwanja wa nje imekula kwako
kuna mama mwenye nyumba yangu mume wake ni boss ofsi flani huko town yaani ukimcheki hzo kucha tu utazimia,anadai eti mumewe anarudi saa tisa usiku
sasa sijui anataka awai kwa lipi while mtu hadi saa nane usiku hajaoga
anadai eti vipodozi vina kensa
sasa mumewe anakula venye kensa basi
Tatizo mkizaa mapenzi yoooote mnahamishia kwa watoto. Unategemea nini?
im really curious, kwanini wanaume huwachoka wake zao na kutafuta kazi za nje? kama wanawake tunaweza kuwa waaminifu kwanini nyie mshindwe?
mtu anakuzalisha alafu ukisha haribika mwili, anatafute waschan wadogo, inauma sana. au wanadhani wao hawa haribiki? hata wanaume hupata kitambi na kua na mwili mbaya but wanawake huvumilia na kuendelea kumpenda.
kuna solution ya hili, kumfanya mwenzako asikuchoke?
Kwasababu wengi ukipita mwaka baada ya kuolewa au wakishazaa wanabweteka. Wanadhani ndio mwisho wa kupendeza, kujiremba, kuongea taratibu, kudeka, kumbembeleza mume n.k
Maisha yanakua kama jeshini. . . amri na malalamiko ndio vinatawala. Ikishakua hivyo hata hamu ya kurudi nyumbani mume anakosa.
im really curious, kwanini wanaume huwachoka wake zao na kutafuta kazi za nje? kama wanawake tunaweza kuwa waaminifu kwanini nyie mshindwe?
mtu anakuzalisha alafu ukisha haribika mwili, anatafute waschan wadogo, inauma sana. au wanadhani wao hawa haribiki? hata wanaume hupata kitambi na kua na mwili mbaya but wanawake huvumilia na kuendelea kumpenda.
kuna solution ya hili, kumfanya mwenzako asikuchoke?
Babu yako mwanaume na siku hizi kupata wanaume kama hao ni tabu sana, yani wanaume wa siku hizi wanavyo ogopa wanawake we wacha tu....tumebaki wachache tunao weza kuwa kama babu yako na babu yangu :biggrin:Hii kwa wanaume wa kiafrika ni nature, ukiangalia mila za makabila mengi africa ilikuwa wanaume wanaoa wake zaidi ya mmoja, mimi babu yangu alikuwa na wake watatu. Mpaka wazungu walipokuja na kutuambia haya ni mambo ya kishenzi, lakini bado dam ya wanaume wengi wa kiafrica ina vinasaba vya kuwa na wake wengi ndio maana ule mpango wa nyumba ndogo hautaisha kirahisi. mtuvumilie tu akina mama lol
Wewe wacha kudanganyika eti wazungu....Mzungu angekuwa na akili angetembea na mavi kwenye full sute yake, mzungu mpaa leo anachamba kwa kutimia karatasi badala ya maji :biggrin:Hii kwa wanaume wa kiafrika ni nature, ukiangalia mila za makabila mengi africa ilikuwa wanaume wanaoa wake zaidi ya mmoja, mimi babu yangu alikuwa na wake watatu. Mpaka wazungu walipokuja na kutuambia haya ni mambo ya kishenzi, lakini bado dam ya wanaume wengi wa kiafrica ina vinasaba vya kuwa na wake wengi ndio maana ule mpango wa nyumba ndogo hautaisha kirahisi. mtuvumilie tu akina mama lol