hivi kwanini wanaume huwachoka wake zao?



Ingewezekana kama hakuna mambo mengine yaliyokuwa yanaungana na ndoa yenu...ingawa vijana wa kileo wameweza, wanathubutu na wanasonga mbele ukiwaletea maneno maneno. I wish we could handle things differently
 
Tatizo ni kuoana mkiwa na expectations kubwa kubwa. Wanawake wengi wanafikiri wanaweza wakabadili mapungufu ya bf wake akiolewa. Tatizo anapoolewa anakuta hawezi kubadili kitu, inabaki hasira tuuu.
 
Sio hamu ya kurudi nyumbani tu inakwisha bali hata zile simu za mahaba huwezi kumpigia tena, maana anageuka kuwa ni sehemu ya kero.

Na sio simu tu, hata kumsogelea kwa bed inatisha, inabidi nijikunje mdhungu wa tatu na kuweka mpaka katikati asiniguse. Tena namwambia akae mbali maana tutamuharibu mtoto...
 
wanawake hawapaswi kulaumiwa peke yao kwenye tatizo hili; hata wanaume wanachangia pia kwa kutowajali wenzi wao, kutotoa matunzo yanayostahili, kuwaona wenzao kama tambara bovu (au 'kwisha kazi') hasa wakishazaa etc
 
mm nadhani wanawake wengi wakizaa huwa wanabadili attention yao na kuhamishia kwa watoto matokeo yake mwanaume anafeel abandoned, insecured and helpless.

pili wanawake wakishaolewa huwa wanajiachia na kuwa wanene kupitiliza na matokeo yake wakiwa kitandani wengi wao wanashindwa kuwajibika kutokana na uzito kuwazidi. wakiambiwa wapunguze uzito huwa hawataki/hawasikii, matokeo yake mwanaume anatafuta replacement

all in all kuwa na nyumba ndogo ni uovu na ni kufanya kosa kuu/uovu mkubwa ambao adhabu yake ni magonjwa ya zinaa kabla ya moto wa milele ufunuo 21.8, mathayo 25.41
 
hahahaaaa!!! smile nafa kwa kucheka eti kensa. umesahau pia. wanandoa wakishazoea hata chakula hawapiki kinapikwa na dada. hadi mume anasahau ladha ya chakula cha mumewe. ikifika weekend basi hasemi ngoja leo nipike, wala, jumamosi yuko salon, jumapili kichen party. mume anashinda bar, kama ana nyumba ndogo ndiko kwa kushinda, akipikiwe mahanjumati ya kumwaga. halafu mnalalamika mmechokwa, wakati nyie ndo mloanza kuwachoka waume zenu kwa kutowapikia. tena sio chakula cha mezani tu. ukipata katoto hata chakula cha usiku pia unazembea. sasa mwenzio akale wapi kama si nyumba ndogo yenye kujituma hadi basi.
halafu unasema mume kakuchoka wakati uchovu umeuanzisha mwenyewe kwa kudharau uliyofunzwa, na kudhani "si wangu, nishampata tayari." tafakari... chukua hatua...


 

Yaani kama upo...mama kuingia jikoni hata siku moja ni tatizo. Lini unampikia mmeo? Ndo hapo inapokula kwetu!
 


Hapo ndo huwa nakupendaga.....objectivity.......
Na sijui wanaambiwa kuwa ukizaa kwa mwanaume ndo unakua malikia....eti utakuta anataka kututumuka kana kwamba huo umama wake unaku-include na wewe mumewe....amri as if we kibaraka neno please ukirudi mletee baby kitu flani hakuna ye hajui....utasikia uje na maziwa ya mtoto yamekwisha.......haaapooo ndo duuuuuh sita na nusu usiku na mikopo ya maziwa unakuja nayo kwa sana


Enyi wake zetu kuzaa c kila kitu bana mjue mapenzi kwanza na watoto ni product yake.....ukigeuza hii formula tu ndo ushakuwa yaya tena......
 
Sina chakuongezee kwa hoja za TAUS MZALENDO. Well said
 
Umeona eeh. Mimi nashangaa wanaosema wanaume wanawachoka wake zao as if wanawake nao hawana feelings. Ukweli ni kuwa tunachokana ila tofauti ni kuwa kwa sisi wanawake (tulo wengi) kutembea nje ya ndoa si solution ya mchoko huo. Ila hata sisi tunawachoka pia:juggle:

kujisahau ni one thing, lakini kuna wamama ambao wapo bomba mno lakini waume zao moto huko nje. ni litabia tu la watu
 
Hii nimeipenda ina kaukweli ndani. Take note kina dada
 

SMILE mbavu sinaa..kweli BOLINGO YA SEKA!!
 
mmmm, mimi sitaki nimchoke wangu, maana sipati picha nikimchoka kama ntaweza kuvumilia kukaa naye. For my own sake, Mungu anisaidie lisinitokee
 
Umesema kweli kabisa Lizzy, wamama wanajisahau sana jamani, ndo sababu mimi huwa nasema nyumba ndogo haziwezi kwisha

Weeee unasemaje?? Zita isha hizo small house!!
We ngoja tuanze kufunga LUKU, uone jeuri yake!!
 

CHEKI MANENO HAYA SASA MPAKA NIME SISIMKA...inanibidi nianze mpango wa kuoa,then kitaeleweka tuu.
Ee Mungu nisaidie.
 

CHEKI MANENO HAYA SASA MPAKA NIME SISIMKA...inanibidi nianze mpango wa kuoa,then kitaeleweka tuu.
Ee Mungu nisaidie.
Hongera saaaana mapo.
 


daaha hiyo ya mama mwenye nyumba yako nimeipenda! looh kazi kwelekweli
 

Hivi kumbe Mwanamke akizaa anachakaa sana!!!! Nashukuru kwa taarifa hiyo.
 

I always hate generalisation, unajifanya kuwa kuna wanawake pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…