Hivi kwanini wanaume tunapogundua huwa moyo unataka kuchomoka?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Jamani mimi yalishanikuta najiuliza nikwanini sisi wanaume tunapocheat hakuan neno lakini mpenzi wako akicheat naukajua ukimbilia uamzi wakumwacha??na kwanini roho iume wakati tunaweza kuwaacha nakutafuta mwingine??
Naunapomwona namwingine baada yakumwacha roho uenda mbio nawakati ulisha mwacha??Nini maana yake?? :confused2:
 
maana yake bado unampenda.
 
I agree with you 100% maana hata jogoo akiona mwenzake anasogeasogea kwenye anga zake hiyo vita yake hakuna asiyeijua .Lakini kwetu wanadamu sometimes vitu vingine vingi tu vinachangia mfano mtu anafikiria muda na vitu alivyo invest kwa mwenzi wake na wengine ile kuona mwenzie kakosa imani naye wanaona kama vile wamevuliwa utu wao.
 
maana yake bado unampenda.

Inawezekana bado unampenda, ila kwa tabia za mwanamume, mwanamke uliyemwacha anatakiwa kupata shida sana. Yaani ukikutana naye awe labda ni omba omba au yaya fulani kwa waarabu au wahindi. Pia ungeambiwa kuwa baada ya kumwacha alipata shida karibia na kufa au kufa, wanaume wengi husikia raha.

Ndivyo wanaume tulivyoumbwa. Msinilaume mimi bure.
 
Ikiwezekana mrudie inaonyesha bado unampenda usije juta baadae akiolewa.
 
Jamani mimi yalishanikuta najiuliza nikwanini sisi wanaume tunapocheat hakuan neno lakini mpenzi wako akicheat naukajua ukimbilia uamzi wakumwacha??na kwanini roho iume wakati tunaweza kuwaacha nakutafuta mwingine??
Naunapomwona namwingine baada yakumwacha roho uenda mbio nawakati ulisha mwacha??Nini maana yake?? :confused2:

Swali gumu....!
 
Inawezekana bado unampenda, ila kwa tabia za mwanamume, mwanamke uliyemwacha anatakiwa kupata shida sana. Yaani ukikutana naye awe labda ni omba omba au yaya fulani kwa waarabu au wahindi. Pia ungeambiwa kuwa baada ya kumwacha alipata shida karibia na kufa au kufa, wanaume wengi husikia raha.

Ndivyo wanaume tulivyoumbwa. Msinilaume mimi bure.

Kumbe ndivyo mlivyo na mshindwe na mlegeee huko kwenye............ nimeaharibu cku yangu asubuhi hii na unasema tuckulaumu we unaona ni vizuri kabisa ulivyosema huoni hata aibu
 
ahhhh raha kweli kweli
sa knawauma nini?
ahh minaona raha kweli pale mmeachana afu jamaa alikunyea sana ..wewe bila mimi ..utakufa njaa...utakufa...nan atakutaka tena...mtu mwenyewe mbayaaaaaaaaaa umefanana na bib yangu mzaa bib...afu mara bngo imekujia mamaa una mchuma wa ukweli then na mume tayar tena muhand sam ......ndo mnakutana nae mtaani akiwa na kitoto sjui cha form twoo b ndo mkewake ...maisha yamempiga kofi ..dah atataman azimie afu kwa kuwa wewe ni mzungu wa ukweli unamwambia panda nkupelek afu unamtambulisha MR uyu alikuwa bf wangu wa zaman ndo yuuule niliyekwambia..MR ANATOA ELA YA TAX ITAKAYOWASAIDIA NXT ....dah apo atataman ajifukie

KWANINI WANAUME WANATUOMBEA MABAYA AFTA KUACHANA NAO?
WACHACHE SANA WANAWEZA WAKAKUSAIDIA ATA AFTA KUACHANA BT WEnG WAO MMH ANATAMAN ufeli kwenye kila kitu sjui ili iweje......
 
kweli rose na mungu alivyo wa ajabu ili mliweke akilini wanaume wote mnaowaacha wanawake na kuwatakia maisha mabaya. Mungu huwa anawainua mpaka muone aibu na mabaya yote uliyokuwa unamuombea yanakurudi wewe
 
Rose 1980!Labda tupo tofauti mimi sipandi hicho kiprado chako hata kama mvua inanyesha!!kwanza ukisimama mimi ndokwanza nakupandisha nakukushusha naendelea na ubusy wangu!eti nisimame uninange kwani najua fika wewe haujasimama kwa heri!!!
 
Jamani mimi yalishanikuta najiuliza nikwanini sisi wanaume tunapocheat hakuan neno lakini mpenzi wako akicheat naukajua ukimbilia uamzi wakumwacha??na kwanini roho iume wakati tunaweza kuwaacha nakutafuta mwingine??
Naunapomwona namwingine baada yakumwacha roho uenda mbio nawakati ulisha mwacha??Nini maana yake?? :confused2:

Yaani ndipo huwa nashangaa.... but kwa mara nyingi wanasema mwanamke akitoka nje ya mahusiano ina maana kuna anachomiss toka kwa mpenziwe so badala ya kukimbilia kumwacha jaribu kujichunguza ulipoteleza...... (najua mtasema si angesema!) But ukweli ni kuwa wengi wenu huwa hamtaki kuambiwa mnatuchukulia kuwa we are nagging too much....

So jaribu kufikiria chanzo kabla ya kuchukua maamuzi ambayo yatakucost hapo baadae.
 
Nakubaliana na wote waliosema Nature. Jiulize kwanini mwanamke hawezi kuolewa na kuishi nao wanaume zaidi ya mmoja. Lakini wanawake hata zaidi ya kumi wanaweza kuolewa na mwanaume mmoja !!!!
 
yan maty acha tu
niliona ilo wakati tupo 3rd yr pale udsm ahh jamaa akambwaga shoga yangu kwa mbwembwe nakwambia dahh yan bmkubwa alilia saana cz alikuwa mtiifu sana kw jamaa si wa kujirusha si wa kwenda disko akitoka sana kaenda makuburi kansani...bt jamaa mara npo hil pak mara daruso mara udasa mpk saa 8 za usiku kumbe yupo blok a mabibo hstl ana...na mtu mwngine....mwsho wa siku akamtamkia shost ahh we ka vp seeeepa tu tena sepa mazima sikutaki ata kukuona ..nanajua uwez pata men mwngine.... na utafeli tu...na lazima utakwama cz we mshamba tu...bibie akasema tawile...ahh ile majibu kutoka mwaya jamaaa akapata sapu na akashndwa kuisafisha ahh sa ikawaje...ajagraduate mpk nw..bibie akapata job afta chuo then akapata mdume mwngne tena mdume wa ukweli si kinyangaruka km kile..anajua kupenda na kila kitu kimo...saasa yule jamaa anambwela mbwela tu anaishia tu kutoa maneno mbovu lakin bibie hana hiyana anamtumiaga vivocha vocha...bt mapenz noooo!!!!!!!!!!!!
 
Wanawake msijali endeleeni kutupenda wanaume msisahau kujiunga kwenye chama ISC kinakupa ufumbuzi mkubwa wa matatizo yako
 
Jamani mimi yalishanikuta najiuliza nikwanini sisi wanaume tunapocheat hakuan neno lakini mpenzi wako akicheat naukajua ukimbilia uamzi wakumwacha??na kwanini roho iume wakati tunaweza kuwaacha nakutafuta mwingine??
Naunapomwona namwingine baada yakumwacha roho uenda mbio nawakati ulisha mwacha??Nini maana yake?? :confused2:

ulipokuwa msingi ulijifunza kuandika imla?
 
yan maty acha tu
niliona hilo wakati tupo 3rd yr pale udsm ahh jamaa akambwaga shoga yangu kwa mbwembwe nakwambia dahh yaani bmkubwa alilia saana cz alikuwa mtiifu sana kwa jamaa si wa kujirusha si wa kwenda disko akitoka sana kaenda makuburi kansani...bt jamaa mara nipo hill park mara daruso mara udasa mpk saa 8 za usiku kumbe yupo blok a mabibo hstl ana...na mtu mwngine....mwsho wa siku akamtamkia shost ahh we ka vp seeeepa tu tena sepa mazima sikutaki ata kukuona ..nanajua uwez pata men mwingine.... na utafeli tu...na lazima utakwama cz we mshamba tu...bibie akasema tawile...ahh ile majibu kutoka mwaya jamaaa akapata sapu na akashndwa kuisafisha ahh sa ikawaje...ajagraduate mpk nw..bibie akapata job afta chuo then akapata mdume mwngne tena mdume wa ukweli si kinyangaruka km kile..anajua kupenda na kila kitu kimo...saasa yule jamaa anambwela mbwela tu anaishia tu kutoa maneno mbovu lakin bibie hana hiyana anamtumiaga vivocha vocha...bt mapenz noooo!!!!!!!!!!!!

Mijanaume mingine si wanaume... how can you ulter maneno kama hayo??? ...........Angenitamkuia mimi ningehakikisha nayakamata na kubembea nayo hadi yakatike.
 
Back
Top Bottom