squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Mambo ya mjini hayo mkuuHabari zenu.
Kwa kweli mimi ambaye natumia muda mwingi mkoani, nikija Dar na kwenda mjini yaani maeneo ya Posta, ambako inasemekana ndio shughuli za kitaifa hufanyika, wanaume wengi sana huku wanavaa visuruali vinabana alafu NJIWA, najiuliza ni fasheni, ushamba wangu au ufala wao?
Yaani mpaka soksi zao zinaonekana freshi tu ila hawana wasiwasi. Na vitambi vyao juu.
Role model wao diamond anachofanya na wao wanafanya iko siku tutasikia jambo baya zaidi nao wanafanya.
hahhahaaaaTuwekee video au picha wengne hatujawahi fika huko dar
Nionyeshe picha ya diamond akiwa na suruali njiwa nikutumie elfu 10
hahahahaa subiri buku ten yako mkuu