Hivi kwanini wanaume wengi awaridhiki??

Uzinzi ni tamaa "Nampenda mke wangu wewe nakuchukua tukapeane raha tu" mwanaume mwenye mke wake akakwambia haya maneno ujue akili yake ina mis kama haivuji kabisa.

Dah! nakosa la kusema zaidi natafuta BAN wacha nikampopoe wangu mapema kabla ya asubuhi.
 
Hahahahaha!!! Mzee DC
 

Babu kama ni hivyo hamu ikiwashika si mmalizane na wake zenu au wapenzi wenu? kwa nini kubadilisha badilisha wanawake? ina maana kubadilisha ndio kutafanya hizo hormone zipungue au? kwa mpenzi wako mmoja haziwezi kupungua?

Ni kuendekeza tamaa tu. Mwingine anakufata vizuri unajua ni dume kumbe hamna kitu kwa zubri yake na kutamani pia hakomi ilhali anajijua hana uwezo wa kumridhisha mwanamke.
 


.......maty acha kunyanyapaa wenzio, yawezekana hao vidole vinakuwa active sana, kama njia mbadala.............
 
.......maty acha kunyanyapaa wenzio, yawezekana hao vidole vinakuwa active sana, kama njia mbadala.............

Hahhaaha lol! umenichekesha bila kutarajia. Sasa kama mtu anajijua hivyo si atulie tu na mpenzi mmoja? lakini ni watongozaji hao balaa, nao kinachowasumbua ni nini? Ndio maana nasema hakuna cha hormone kujaa wala nini ni kujiendekeza tu na kupenda kuchezea wadada
 
Kwani wwanaume hizo shughuli wanazifanya na miti au na wanawake? Hao wanawake viruka njia siyo wote ni 'single,. Wengi wameolewa na hayo mambo wanafanya part-time. Kwa hiyo ni tabia ya mtu mmoja mmoja na siyo wanaume kwa ujumla. Ila vijana wa siku hizi ngono mmeifanya entertainment badala ya kuwa mahusiano serious. Unaweza kudhani tatizo la ukimwi ni hadithi tu halipo.
 
Pengine waweza jiuliz a kwa nini wanaume wengi hata wakutane na wanwake kama malaika wasiojua kutoka nje lakini wanashindwa kujiheshimu??je wewe ni mmja wa haka kagonjwa??
Wenye uzoefu tusaidiane jamani!!

mh! hakuna mwanamume anayependa kutoka nje ya ndoa na kama kunaye basi naomba ainue kidole juu tumwone! kinachomfanya mwanaume kutoka nje ni hawa wanawake. wanawake badilini tabia hizo zenu mbovu. msidhani mapenzi kwa mwanamume ni hiyo dudu yenu tu, hapana, mwanamume ni kama mtoto anahitaji mapenzi ya mama. tena mtambue kuwa mwanamume hana kwake (mji) na ndio maana mgeni akija nyumbani na mama hayupo atamsikia akisema "sitakukaribisha ndani kwa chai maana wenyewe hawapo". sasa kama wanawake mtabaki kuwa mazuzu, hamwezi kutumia mbinu ndogondogo za kuwa tame waume zenu msilalamike-wacha wanaojua wafaidi mtama. tena ningependa kuwafahamisha wanawake kuwa msidhani mwanamume kutoka nje ni DUDU au kipapuna anafuata, la hasha kuna msukumo fulani wa kitu ambacho kakikosa kwa mke wake au mpenzi wako.
 
Nafikiri wawili wakiwa kwenye shughuli wanachezeana ila mabinti hupenda kijiona kama wao ndio wanatoa wakati wao ndiyo wapokeaji wakubwa kuliko kinyume chake. Anayemchezea mwenzie hapo ni nani?
 
Mimi sina cha kuchangia katika hili, nisije nikajisahau nikadhani niko Tz nikakiuka taratibu za hapa Saudia nikazini, nikapondwa mawe hadi kufa!
 
hapo nilipo bold sikubaliani na wewe hizo zilikuwa ni tamaa za jamaa yenu muhammad tu. Hebu fikiria na mwanamke angekuwa anaolewa na mwanamume zaidi ya mmoja ingekuwaje? Simple question

kama umeshiba uji nenda kalale,,mbona humtaji mama yako mzazi au baba yako mzazi,,,achana na muhammad(saw).....jadili dini yako usirukie rukie imani za watu
 
sasa mie nataka mwanaume wangu matamanio yake ayalete kwangu aone kama hajachoka mwenyewe<br />
nikishindwa ndio aniletee habari ya baioloji not now najijua kila akitaka nitamtimizia tu, nia ninayo, uwezo ninao, na hamu pia ninazo
<br />
<br />
uko sawa dada ila umesahau kua nyie mna zile za kubrake cku kadhaa kila mwez na pia sis wengine hua tuna enjoy nyama kwa nyama tene kwa kuweka zile manii kule zinakotakiwa kwenda sa nyie unakuta mwez mzima mtu yuko free cku labda 7 tu cku zingine mala ooh mwagia nje sa starehe iko wap lakini ukioa ka wanne hiv ka uislamu unavosema inakua poa sababu ile mizunguko yenu inatofautiana unakua unaenjoy tu mwez mzima si unajua sisi ni free milele labda tuugue.
 
Uzowefu wangu binafsi: Mara nyingi Mwanaume huonyesha kutoridhika baada ya Mwanamke kuonyesha kuridhika na kisha kujisahau...!
 
sasa mie nataka mwanaume wangu matamanio yake ayalete kwangu aone kama hajachoka mwenyewe
nikishindwa ndio aniletee habari ya baioloji not now najijua kila akitaka nitamtimizia tu, nia ninayo, uwezo ninao, na hamu pia ninazo
...Mh! Kweli? wengine hupenda kubadirisha mitandao kulingana na hali ya hewa vipi wewe unatoa mitandao mbadala mtu akihitaji???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…