Hivi kwanini wanaume wengi awaridhiki??

Mimi sina cha kuchangia katika hili, nisije nikajisahau nikadhani niko Tz nikakiuka taratibu za hapa Saudia nikazini, nikapondwa mawe hadi kufa!

Dah! hiyo Avatar yako.....!

kiukweli wanaume wengi wanatamaa sana na ndio inayowafanya wasiridhike na mwenza mmoja

coz matamanio ya mwanaume yapo karibu zaidi!na ndo maana kwa kultambua hlo dini ya kiislamu ikatoa ruhusa ya mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja ili kukidhi haja!

Na sidhani kama kuoa zaidi ya mmoja ni dawa...

sasa mie nataka mwanaume wangu matamanio yake ayalete kwangu aone kama hajachoka mwenyewe

nikishindwa ndio aniletee habari ya baioloji not now najijua kila akitaka nitamtimizia tu, nia ninayo, uwezo ninao, na hamu pia ninazo

mwanaume wako atapata raha sana

mbona waliooaa wa nne nao wana nyumba ndogo na wengine kufanya wafike 7 to 8 uoni bado sio soln
msaada tutani
Hahaha!!
Mi nadhani ni kama msosi, ukila mchana jioni si unarudia kula?

Kwani mwanamke haitaji mapenzi na yeye ni ubinafsi tu umewajaa, mama ana majukumu mangapi akishaingia katika ndoa? labda hiyo ndoa iwe haina watoto. Yaaani watoto wadeke bila sababu na wewe baba mtu mzima udeke bila sababu huku unaona kuna watoto pia badala msaidiane unamuachia majukumu yote mama na bado haitoshi ukirudi ubebwe mgongoni pia msizae basi kama ni hivyo ili ubaki wewe mtoto milele.

Na sidhani kama kuoa zaidi ya mmoja ni dawa...

ni dawa sababu uyu akiwa kwenye yale mambo yao unahamia kwingine unakuta unaenjoy tu mfululizo hauna brake.

muongeze doz imkolee uyo.

sasa mie nataka mwanaume wangu matamanio yake ayalete kwangu aone kama hajachoka mwenyewe

nikishindwa ndio aniletee habari ya baioloji not now najijua kila akitaka nitamtimizia tu, nia ninayo, uwezo ninao, na hamu pia ninazo

Bahati mbaya wengine tumetiwa pingu. Lakini nimependa attitude yako wote wangekuwa kama wewe matatizo yangepungua sana. Tatizo kinamama wakishakuwa maveterani speed na viwango vyao kwenye shughuli vinakwenda chini sana.

Mi naona hapa swala sio bb kuwa tayari wakati wowote mpenzi atakapokuwa tayari bali huyo mwanaume atakuwa tayari? wenzetu huwa mnakif mapema, wanawake wengi wanalalamikia wanaume zao wanawakwepa kufanya mapenzi, yaani mke anakuwa tayari baba keshamaliza hamu yake nje, hapo ndio inakuwa shida

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…