Hivi kwanini wanaume wengi upenda wanawake wenye makalio makubwa ? Inawezekan...

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
498
Leo docta nimekuja na jambo ambalo limekuwa linanisumbua sana juu ya baadhi ya wanaume tena wengi upenda kuwa na wanawake wenye makalio makubwa tena docta wanawake wengine makalio yao imekuwa makubwa kupita kiasi,sasa ningependa kujua hili nitatizo la saikolojia au ugojwa?kwa hawa wanaume au nini siri hapo docta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…