Hivi kwanini wanawake huwa hamueleweki kuwa mnataka nini?

Rayvanny wa jamiiForums

Senior Member
Joined
Apr 7, 2023
Posts
132
Reaction score
351
Wanawake huwa mnatuchanganya sana unakuta asubuhi mtu anapost “Yani huyu mwanaume ananijulia, nimeamka kashapika eti ehhh”. Mchana “Nani anitoe lunch leo?”. Usiku “Ni muda sasa nipo singo sababu wanaume ni mbwa”. Andikeni script freshi, tunafuatilia story.
 
Wewe naye unatuchosha na mada zako hizii za kila dakika ambazo hazina maana yeyote utafikirii umebalehe Jana acha utoto basii!!!
 
Wanajua wanachokitaka ni vile wanajitoa ufahamu na wengine wanaenda mbali zaidikwa kusema hawajui wanachokitaka ili kuhalalisha umalayer wao.
 
sema wanakuchanganya sio wanatuchanganya

Sisi usituwekemo maana sio wote tunaochanganywa na wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…