Hivi kwanini wanawake wa kitanzania wanapenda kutoka kimapenzi na watu wanaofanya kazi hizi?

😀😀😀😀Dah, mwamba umenichekesha sana! Wewe unatongoza mademu wa aina gani kwani?
Nimeona sehemu hapo juu umesema gari unayo, nyumba etc, na ukamalizia kuwa ni vitu vya kawaida kwenu watu wa Marketing! Sasa mbona mademu wanakukimbia man? Jiangalie wewe kama wewe, shida haipo kwenye kazi yako braza!
Halafu pia kingine, unatakiwa ujue kuwa ili kumnasa mwanamke mwenye akili lazima aangalie kesho yako itakuwaje! Kuna wanawake wana uwezo wa kuona kuwa una pesa leo ila kesho hutakuwa nazo, huyo mwanamke hawezi kaa nawewe kamwe! Hizo kazi ulizotaja hapo juu nyingi zina uhakika wa maisha kwa mtu anayejitambua, hata yako pia ina uhakika wa maisha sana tu! Ndugu yetu tatizo liko kwako! Usiwalaumu hao wadada mzee baba! Halafu kwenye hiyo list wanajeshi ungewaweka wa kwanza tu😀
 
Penye Nia pana njia
 
Unajua mshahara wa chini kabisa wa pilot ni sh ngapi?
 
Aiseee...maisha hayako fair. Yaani mtu unasoma mpaka chuo miaka minne upate degree alafu demu wako anakuja gegedwa na bodaboda jamani.
 
Hao huko kwenu ushuwani, kwetu uswazi mademu wanagongwa sana na bodaboda, wauza chipsi, wauza magenge na maduka, wauza mabucha na wengineo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…