Hivi kwanini wanawake wakiwa wanacheza mziki lazima wachezeshe makalio yao?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Wakuu hii kitu inanishangaza sana hivi ni kwanini wanawake wakiwa wanacheza mziki lazima wainame iname kwani style nyingine hamna ?

Huwa nashangaa sana ,hivi hii inasababishwa na nini?
 
Unajuaga sisi kule kwetu Kenya tunapendaga wadada wa kitz wakiwa wanatingisha yale mambo musuri kwa nyuma. Ni raha sana kuona yakitingishika kama bia kwa glasi kuona kama inakwisha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndiyo muziki unawakolea zaidi Mkuu.

Wakuu hii kitu inanishangaza sana hivi ni kwanini wanawake wakiwa wanacheza mziki lazima wainame iname kwani style nyingine hamna ?

Huwa nashangaa sana ,hivi hii inasababishwa na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…